Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari mbaya sana hii.
Njia ya kalenda ndio njia ya uhakika isiyo na madhara yeyote yale kwake isipokuwa ni kuwa makini tu kuanzia siku ya 9 hadi 18 kwa uhakika zaidi, baada ya siku ya kwanza ya hedhi , hizo njia zingine anatafuta uvimbe kwenye mfuko wa uzazi na mengineyo.
Asishawishike na promition zinazo fanywa kwenye vyombo vya habar kuhusu hizo njia za vidonge na sindano hiyo ni sera ya european kwa nchi zetu hivyo madhara tunayo pata wao hayawahusu.
Nina ushahidi 100% dada angu hadi leo hashiki ujauzito baada ya mtoto wake wa kwanza mwenye miaka 6 sasa sababu ya hizo dawa. Na kesha fanyiwa upasuaji mara mbili kuondoa uvimbe tumboni na mimi nikiwa mmoja wa wauguzi hapa kwangu, na chanzo cha tatizo hilo tuliambiwa ni hizo njia za uzazi maana alikuwa mtumiaj haswaa!
Ingawa Dr. Aliniambia kwa siri sana kutokana na ukaribu wetu. Maana alinambia ikitokea dr. Ukamwambia mgonjwa ukweli kuhusu chanzo cha matatizo hayo na ukabainika lazima atakuwa na hali ngumu.
Tunatumia njia ya kalenda kwa miaka mitano sasa na imesaidia sana na tupo makini kwa hilo mimi na mke wangu.
Na kama nikizidiwa sana ndani ya siku za hatari bora nitumie njia ya ku withdraw ingawa nayo inahitaji umakini wa kuto jisahau .
ni hayo tu yangu mkuu.

Asante sana mkuu ila ngoma ya ku withdraw inaniwia ngumu pale tunapofika kwa pamoja. Na pia ukiwai kufika uka withdraw then ukaendelea si risk pia kwa yale mabaki ya sperms.
kuchomoa dudu inaleta tabu sana,hasa mrembo anapokuwa kwenye harakati na kufika kileleni,nnakuwa nimemkatisha,vile vile mda mwingine unanogewa kwamba ntachomoa tu sekunde ijayo,kwa kweli binafsi hili jambo la uzazi wa mpango linanisumbua sana,daktari anakwambia hawezi kumshauri mtu atumie sindano/vidonge,anashauri kalenda ihusike,mtihani mwingine mrembo wangu hapendi kondom,inamuumiza na baada ya siku mbili anakojoa kwa maumivu.Asante sana mkuu ila ngoma ya ku withdraw inaniwia ngumu pale tunapofika kwa pamoja. Na pia ukiwai kufika uka withdraw then ukaendelea si risk pia kwa yale mabaki ya sperms.