Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Mie na mke wangu tunapanga uzazi kwa kutumi withdrawa (kumwaga kwa nje)
Hapa tuna miaka mitano kwenye ndoa na mtoto wetu ana miaka 2, tunangoja afunge mitatu ndipo tufikirie kuanza kutafuta wa pili Insha Allah.
So kwangu mie withdrwal is the best but it depends on how you two are committed and cooperate kwenye kuchomoa dushe.

mkishachomoa mara ya kwanza unaingiza tena au kimoja ndo inakua basi?.kwasababu baada ya kimoja mbegu huwa bado zinaendelea kutoka kwa kiasi kidogo.sasa mama anapokua kwenye siku za hatari zile kidogo zinaweza kusababisha ujauzito.ni nzuri kwasiku ambazo unauakika ni safe kabisaaa.

ila kamaulivyosema hii method inahitaji umakini wa hali ya juu.saa nyingine mwanamke anaweza kung'ang'ania mwanaume asichomoe pale utamu unapozidi and vs..tehteheee
 
Kuna hii INA Fanya kazi kwa upande wangu my baby akiwa unsafe anakunywa dawa flani hivi ni vidonge viwili kuzui ujauzito 72 hrs tunapiga gemu baada ya siku mbili anakunywa vidoge vingine ni viwili tu kisha tunaendelea na yetu maana unsafe ni maximum 6 so zinakwisha maisha yanakwenda haijawai kuleta shida everything normal mzunguko safi

Hizo ni emergency cintraceptives na haziruhusiwi kutumika zaid ya mara moja kwa mzunguko mmoja na si vzr kutumia mara kwa mara zina madhara
 
mkishachomoa mara ya kwanza unaingiza tena au kimoja ndo inakua basi?.kwasababu baada ya kimoja mbegu huwa bado zinaendelea kutoka kwa kiasi kidogo.sasa mama anapokua kwenye siku za hatari zile kidogo zinaweza kusababisha ujauzito.ni nzuri kwasiku ambazo unauakika ni safe kabisaaa.

ila kamaulivyosema hii method inahitaji umakini wa hali ya juu.saa nyingine mwanamke anaweza kung'ang'ania mwanaume asichomoe pale utamu unapozidi and vs..tehteheee

Pia unatakiwa ukojoe kabla ya kwenda round ya pili ili kuflash mabaki ya mbegu
 
Calenda ndo nzuri au maliza kuzaa funga kizazi. Hizo nyingine zina madhara yake ila yanaweza kutokea kwa mwingine na yasitokee kwako.
 
Ngoja nikianza kuduu nitatumia njia hii, cute b wewe hutumia njia ipi?

Hahahaaa mimi na withdraw dear...
Hahahaaaaaa ukianza ku do? Kwishahabari ya wanaume kama yupo anayengoja ndoa akijua hujawahi mamaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Kwani uliwahi kunishikia mguu?? Teh teh teh, mekumith kacute ketu, hiyo ya withraw umenikumbusha mbaliiii, kuna wengine hawaiwezi hata ufanyeje.
 
Kwani uliwahi kunishukia mguu?? Teh teh teh, mekumith kacute ketu, hiyo ya withraw umenikumbusha mbaliiii, kuna wengine hawaiwezi hata ufanyeje.

Nilikushikia mguu hahahaaaa.....
Nimekumis my atoto wangu muke ya mtu mkubwa Manga ML.
Kweli kuna wengine ukiwaambia wa withdraw ni kazi bure wana withdraw baada ya kupizzzzz cc sumbai.
Ila mami mimi nikifanyaga navizia nikiwa nimemaliza MP natembea ndani ya siku saba tuu sitaki makuu kuendelea hapo nastop kwanza maana zile siku nane za mwisho siziaminigi...
Hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Njia ya mwanamke kuweka vijiti ni salama sana kwani Mimi na mke wangu tunaitumia sasa ni mwaka wa tatu tunafurahia tendo la ndoa bila hofu,hii njia inakuwezesha kupiga bao wakat hujachomoa bila hofu ya kusababisha mimba kwan raha ya mechi ni bao la ndani
 
Kwa kusaidia pia vijana wanaosema njia hii ni ngumu kutokana na masalia ya sperm kama umewahi kufunga, jaribu kumfanya mwenzako awai kufikia mshindo kabla yako, hapo ndipo utajua maana ya hii method, vinginevyo mtatotoa sana.
Mie na mke wangu tunapanga uzazi kwa kutumi withdrawa (kumwaga kwa nje)
Hapa tuna miaka mitano kwenye ndoa na mtoto wetu ana miaka 2, tunangoja afunge mitatu ndipo tufikirie kuanza kutafuta wa pili Insha Allah.
So kwangu mie withdrwal is the best but it depends on how you two are committed and cooperate kwenye kuchomoa dushe.
 
Njia ya mwanamke kuweka vijiti ni salama sana kwani Mimi na mke wangu tunaitumia sasa ni mwaka wa tatu tunafurahia tendo la ndoa bila hofu,hii njia inakuwezesha kupiga bao wakat hujachomoa bila hofu ya kusababisha mimba kwan raha ya mechi ni bao la ndani

I havr a friend who had one of her tubes removed coz vijiti vilisababisha apate ectopic pregnancy. Na mda wote wa vijiti hakuwahi kupata damu. Na alipovitoa she stayed almost 2 yrs ndipo akapata damu
 
Muhimu kuongea na wataalamu. Kuna njia nzuri kwa mmoja sio kwa wote coz nyingi ni intrusive. Njia ambazo sio intrusive ni withdrawal na condom na calendar. Nyingine ni safe kwa mwanaume na sio mwanamke. Ila mwanaume atakushauri hizo coz hazimuathiri yy. Na hatopenda withdrawal coz atakuambia anaumia ba condom inamaliza utamu. Ukitumua calender cku mimba ikiingia bht mby atakuambia mzembe hujahesabu vzr. Wanaume wabinafsi sn tunawapenda basi tu.
 
ukitaka usikosee mambo basi we jigijigi siku zote la kasoro siku 5 tu yaani siku ya 12 mpaka ya 16 tangu mzunguko wa hedhi ilipoanza( hizo ni siku kwa ajili ya mimba), hapohata kama mzunguko ukibadilika kidogo haitaathiri kitu..

wengi hukosea kwa kuanza kuhesabu siku hedhi ilipokata na ndio hujikuta wanakosea na kupata mimba zisizotarajiwa.

Naomba utuelezee vizuri ni siku tano au kumi mana mimi niliambiwa ni siku kumi kuanzia siku ya 11 mpka 20 tangu mzunguko wa hedhi ulipoanza ipi ndo sahihi?
 
kuna wadada wengine huwa zina badilika kila mwezi
 
Nilikushikia mguu hahahaaaa.....
Nimekumis my atoto wangu muke ya mtu mkubwa Manga ML.
Kweli kuna wengine ukiwaambia wa withdraw ni kazi bure wana withdraw baada ya kupizzzzz cc sumbai.
Ila mami mimi nikifanyaga navizia nikiwa nimemaliza MP natembea ndani ya siku saba tuu sitaki makuu kuendelea hapo nastop kwanza maana zile siku nane za mwisho siziaminigi...
Hahahaaa

Uwithdraw ili iweje labda? Mchezaj mpira unatakiwa uingie golin ndipo liitwe goli...
 
Last edited by a moderator:
Kwani uliwahi kunishikia mguu?? Teh teh teh, mekumith kacute ketu, hiyo ya withraw umenikumbusha mbaliiii, kuna wengine hawaiwezi hata ufanyeje.

Hiyo ya ku withraw bhan dah si nilisikia majivu sijui haina madhara maana hiyo ngumu bhanaa mda huo ndo nataka nifike kwenye maini hafu nitoe atoto kwelihiyo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom