Mie na mke wangu tunapanga uzazi kwa kutumi withdrawa (kumwaga kwa nje)
Hapa tuna miaka mitano kwenye ndoa na mtoto wetu ana miaka 2, tunangoja afunge mitatu ndipo tufikirie kuanza kutafuta wa pili Insha Allah.
So kwangu mie withdrwal is the best but it depends on how you two are committed and cooperate kwenye kuchomoa dushe.
mkishachomoa mara ya kwanza unaingiza tena au kimoja ndo inakua basi?.kwasababu baada ya kimoja mbegu huwa bado zinaendelea kutoka kwa kiasi kidogo.sasa mama anapokua kwenye siku za hatari zile kidogo zinaweza kusababisha ujauzito.ni nzuri kwasiku ambazo unauakika ni safe kabisaaa.
ila kamaulivyosema hii method inahitaji umakini wa hali ya juu.saa nyingine mwanamke anaweza kung'ang'ania mwanaume asichomoe pale utamu unapozidi and vs..tehteheee