Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Mshaambiwa mfyatue tu halafu mnaleta zengwe ona ss
Ila pole mkuu, katoa tu hicho kijiti hakijakaa vzr ndo maana kinaleta madhara
 
Kwani kuweka njiti ni kufunga uzazi?! hapo amezuia mimba kwa muda Fulani tu. kufunga uzazi ina maana wataalamu wanajua namna ya kufunga mirija ili mbegu zisiende huko kwenye kutengeneza mtoto
 
kwa kawaida bleed ikizidi zaidi ya siku 7 unatakiwa urud kwa daktari kwa ushauri na matibabu mngine. miez yotr hyo minne anangoja nni??
 
vijiti havifungi uzazi ni unaprevent tu ucpate mimba ndani ya huo muda kama ni miaka mitatu au mitano, ndugu yangu aliweka alikaa nacho miaka miwili then akatoa na akapata ujauzito though alikua akibleed kila mwezi kwakiasi kidogo na cku chache hayo yote tunaita ni maudhi madogomadogo ktk uzazi wa mpango,ushauri rudi ktk kituo ulichopatiwa hiyo huduma wakubadilishie njia nyingne ya uzazi wa mpango ANGALIZO NJIA ZOTE ZA UZAZI WA MPANGO ZINAMADHARA YAKE, kama mnaweza tumieni KALENDA au CONDOM.
 
hivi njiti za kiberiti zinaweza kufunga kizazi au niaje.joto la mbunye c zinaweza kuripuka aisee huenda zime basti nd maana damu zinatoka
 
MIMI WA KIUME NIMESEMA KUNA MWENZANGU NIKIMAANISHA MPENZI WANGU AMEFUNGA UZAZI KWA NJIA HIYO LAKINI DAMU HAIKATI MWEZI WA NNE SASA... NDIO MAANA NAITAJI KUJUZWA ILI NIMSAIDIE
Nahis inaendana na mwili nakila njia inamaudhi madogo madogo... Kama yanazid nibora kumuona Dr... Pole ndg
 
my geli anatumia aplication inaitwa my calender zama playstore
 
Nshawaona wengi wenye tatzo kama hilo.. fanya fasta mpeleke hospital wamtoe hivyo vijiti.. afu baada ya hapo kaa nae mkubaliane njia sahihi ni 2 tu.. kinga (condom) na kalenda.. wengi kalenda wanashindwa kuitumia kwa kupenda vyepes ila vyenye madhara makubwa sana.. lazima haujue vzur mzunguko wake na ww ukimsaidia.. hapo hapo unaweza kutumia withdraw siku ambazo ni danger. . Walio makini kalenda haisumbui hata kdg...
Walio wengi...?? Huo utafiti umeufanya wapi mkuu. Mbona kalenda ni majanga mpaka washauri wa maswala ya ndo imewashinda wameishia kubeba ujauzito wakati mtoto ana miezi 7 tu.
 
Dawa za mpango wa uzazi kiukweli zinawatesa sana Wake zetu, mama zenu na dada zetu.

Mfano wake zenu, kuna mambo makubwa yanayotia hofu, na ya kutisha, katika mustakabali wa Maisha yao kutokana na aina hizi za uzazi wa mpango.

Kama kuwa na kitambi, siku kupitiliza na mambo mengi, ambayo mengine imekuwa ngumu sana hata kuyabaini moja kwa moja.

Naomba kujuzwa, je mwanaume unaweza kutumia uzazi wa mpango badili ya mke wako?

Ni aina ipi nzuri kutumia kwa mwaume? kama aina hizo za uzazi wa mpango kwa mwanaume zipo zaidi ya moja?

NB: Namwonea mke wangu huruma, nataka mimi ndio nitumie, hivyo naomba msaada wenu tafadhali.
 
Ipo njia y uzaz wa mpango kwa wanaume
Kondom na nyingine ni mwanaume unafungw mirija yako (sina kumbukumbu vizur) soma kweny mtandao utaona kabisa wanaelezea vizur
Ushauri:Mwambie mkeo akaweke kitanzi hicho kitamsaidia yeye kutonenepeana bila sababu,ata enjoy tendo wakat wowote,style yoyote aitakayo na pia atakua huru sana,kwa ushaur zaidi nenda hosp kawaonw wahusik wa uzaz wa mpango hakika utaenjoy huduma yao
 
Nimewahisoma mahala fulani kausha mbegu za papai zisage uwe unatumia kwenye chakula au chai ukipiga mwezi mmoja mfululizo nadhani kama nakumbuka it takes miezi kama 6hv mbegu zako zinakua infertile yaani haziwezi kurutubisha yai. Na ukitaka mtoto unaacha kutukia then baada ya muda zinakua fertile tena
 
Dawa za mpango wa uzazi kiukweli zinawatesa sana Wake zetu, mama zenu na dada zetu.

Mfano wake zenu, kuna mambo makubwa yanayotia hofu, na ya kutisha, katika mustakabali wa Maisha yao kutokana na aina hizi za uzazi wa mpango.

Kama kuwa na kitambi, siku kupitiliza na mambo mengi, ambayo mengine imekuwa ngumu sana hata kuyabaini moja kwa moja.

Naomba kujuzwa, je mwanaume unaweza kutumia uzazi wa mpango badili ya mke wako?

Ni aina ipi nzuri kutumia kwa mwaume? kama aina hizo za uzazi wa mpango kwa mwanaume zipo zaidi ya moja?

NB: Namwonea mke wangu huruma, nataka mimi ndio nitumie, hivyo naomba msaada wenu tafadhali.
Mkuu nitafute mimi nikupe dawa za asili za uzazi wa mpango atumie mkeo pasipo kuwa na madhara yoyote yale. Ukihitaji hizo dawa zangu za uzazi wa mpango wa asili
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Habari zenu Ladies and Gentlemen, kwanza nimshukuru Mungu kwa siku ya Leo iliyo njema kabisa kwangu, Nimshukuru kwa familia aliyonijaalia yenye Watoto wa 3 Mmoja akiwa kichanga cha wiki 2,sitaki kumshukuru Mume wangu kwa kua naamini yeye ndio anastahili kunishukuru Mimi kwa nafasi ninazompa.

Kama nilivyojieleza hapo juu Nina watoto watatu, tatizo ni age gap ya mtoto wangu wa 2 na watatu, huyu wa 2 ndio kwanza anatarajia kutimiza miaka mi 2 by Dec. Huku uyu wa 3 akiwa na wiki 2 mpaka sasa, hebu mnisaidie jamani kupata njia bora ya uzazi wa mpango ambayo sio zile za hospitalini, kalenda imenishinda kama kuna yeyote anayefahamu nje ya njia hizo Pls naomba anifahamishe ili namimi niweze kupanga familia yenye nafasi, otherwise nawatakia Siku njema
 
Ongea na mwenza wako asiwe anamwagia ndani ni nzuri ikiwa tu ni mwelewa ingawa ina risk, umeikataa kalenda ila ndo njia best kuliko zote kwa mtu asietumia za hosp.
 
Back
Top Bottom