Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu dadamkubwa
Tumia njia ya asili, hizi za wazungu hata wao inakula kwao sana(side effects)
kwani umekuwa ukitumia njia gani tangu upate mtoto?,njia nzuri ni ya unyonyeshaji,kalenda na kujitenga na mmeo au mkeo kama unaweza mtihani huu,pamoja na kumwaga maji ya uzima nje ya uke.
Habar wana jf mm ni mgen humu jamvin na hii ndiyo post yang ya kwanza pande hz...,,naomba kujuzwa njia mzur ya uzaz wa mpng n ipi..? Mim ni mama wa mtt mmoja wa miez nane naomba msaada wenu
Hi Dada Mkumbwa...Ila humu huwa wanasema hawapendi vifupisho kama vya SMS.....uwe tu unamalizia maneno vizuuuuuri,inakuwa inaleta u-serious kidogo.......Anyways,mie mwenyewe nataka kujuzwa,nadhani wataalamu watafunguka...Karibu.
Ni kweli kabisa kwan hz nyingine zina madhara, sema kwenye kalenda uwe makini maana weng hushindwa
Ni kweli kabisa kwan hz nyingine zina madhara, sema kwenye kalenda uwe makini maana weng hushindwa
Kama zipi mdau..toa ufafanuzi
kwani umekuwa ukitumia njia gani tangu upate mtoto?,njia nzuri ni ya unyonyeshaji,kalenda na kujitenga na mmeo au mkeo kama unaweza mtihani huu,pamoja na kumwaga maji ya uzima nje ya uke.
Huwa anamwaga maji ya uzima nje lakin naona kama anapata shida maana na ye ni binadamu pia anaeza akajisahau
Mkuu kwa hawa wenzetu wanaodai wameendelea,kuna siku kulikuwa na kipindi kwenye TV walionesha dada mmoja mwenye miaka 18, amekuwa taahira kwa sababu ya kutumia vidonge vya kuzuia mimba.Halafu hapa ninapoishi kuna jirani yangu alikuwa anatumia hayo mavidonge, alipata stroke.Ilikuwa kidogo aende na maji.Nimeelezea njia ya kutumia vidonge, kulingana na niliyoyashuhudia.Ndiyo maana nikasema atumie njia ya asili, maana hizi za wazungu, hata wao inakula kwao.Sishauri kabisa dada zetu kutumia hayo mavidonge.Njia nyingine wataalamu watafafanua zaidi.Tusaidie dada zetu na mama zetu.Kama zipi mdau..toa ufafanuzi
Hivi ukishamwaga maji hayo ya uzima nje unafanyaje hili pipe ikauke kabisa maana hofu yangu inawezekana masalia yanawezakua yamebaki ndani kwa ndani...
Jaman Wapendwa Me Ni Nurse Mcdhan Njia Za Kisasa Za Uzaz Wa Mpango Ni Mbaya Namshaur Hyo Dada Aende Zahanat Yoyote Iliyokaribu Nae Atapata Ushaur Mzur Mana Kuna Njia Za Mda Mfupi,mref Na Zakudumu