Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

hizi njia sio salama kwa afya ya mwanamke basi tu sijui kwa nini sirikali yetu ina encourage!
 
Habari wana jf mm ni mgeni humu jamvini na hii ndiyo post yangu ya kwanza pande hizi...,,naomba kujuzwa njia mzuri ya uzazi wa mpango ni ipi..? Mim ni mama wa mtoto mmoja wa miezi nane naomba msaada wenu.
 
wakaribishwa, ngoja wataalam watakuja kukuelimisha, be patient my dear
 
Tumia njia ya asili, hizi za wazungu hata wao inakula kwao sana(side effects)
 
kwani umekuwa ukitumia njia gani tangu upate mtoto?,njia nzuri ni ya unyonyeshaji,kalenda na kujitenga na mmeo au mkeo kama unaweza mtihani huu,pamoja na kumwaga maji ya uzima nje ya uke.
 
kwani umekuwa ukitumia njia gani tangu upate mtoto?,njia nzuri ni ya unyonyeshaji,kalenda na kujitenga na mmeo au mkeo kama unaweza mtihani huu,pamoja na kumwaga maji ya uzima nje ya uke.

Ni kweli kabisa kwan hz nyingine zina madhara, sema kwenye kalenda uwe makini maana weng hushindwa
 
Habar wana jf mm ni mgen humu jamvin na hii ndiyo post yang ya kwanza pande hz...,,naomba kujuzwa njia mzur ya uzaz wa mpng n ipi..? Mim ni mama wa mtt mmoja wa miez nane naomba msaada wenu

Hi Dada Mkumbwa...Ila humu huwa wanasema hawapendi vifupisho kama vya SMS.....uwe tu unamalizia maneno vizuuuuuri,inakuwa inaleta u-serious kidogo.......Anyways,mie mwenyewe nataka kujuzwa,nadhani wataalamu watafunguka...Karibu.
 
Asante sikuwa nalijua hilo nimejirekebisha kuanzia sasa na hakika halitotokea tena
 
Jaman Wapendwa Me Ni Nurse Mcdhan Njia Za Kisasa Za Uzaz Wa Mpango Ni Mbaya Namshaur Hyo Dada Aende Zahanat Yoyote Iliyokaribu Nae Atapata Ushaur Mzur Mana Kuna Njia Za Mda Mfupi,mref Na Zakudumu
 
kwani umekuwa ukitumia njia gani tangu upate mtoto?,njia nzuri ni ya unyonyeshaji,kalenda na kujitenga na mmeo au mkeo kama unaweza mtihani huu,pamoja na kumwaga maji ya uzima nje ya uke.

Huwa anamwaga maji ya uzima nje lakin naona kama anapata shida maana na ye ni binadamu pia anaeza akajisahau
 
Huwa anamwaga maji ya uzima nje lakin naona kama anapata shida maana na ye ni binadamu pia anaeza akajisahau

Hivi ukishamwaga maji hayo ya uzima nje unafanyaje hili pipe ikauke kabisa maana hofu yangu inawezekana masalia yanawezakua yamebaki ndani kwa ndani...
 
Kama zipi mdau..toa ufafanuzi
Mkuu kwa hawa wenzetu wanaodai wameendelea,kuna siku kulikuwa na kipindi kwenye TV walionesha dada mmoja mwenye miaka 18, amekuwa taahira kwa sababu ya kutumia vidonge vya kuzuia mimba.Halafu hapa ninapoishi kuna jirani yangu alikuwa anatumia hayo mavidonge, alipata stroke.Ilikuwa kidogo aende na maji.Nimeelezea njia ya kutumia vidonge, kulingana na niliyoyashuhudia.Ndiyo maana nikasema atumie njia ya asili, maana hizi za wazungu, hata wao inakula kwao.Sishauri kabisa dada zetu kutumia hayo mavidonge.Njia nyingine wataalamu watafafanua zaidi.Tusaidie dada zetu na mama zetu.
 
Hivi ukishamwaga maji hayo ya uzima nje unafanyaje hili pipe ikauke kabisa maana hofu yangu inawezekana masalia yanawezakua yamebaki ndani kwa ndani...

Hii njia inataka mwanaume anayejielewa na asiwe mlevi na pia usiwe mtu wa kukaa muda mrefu bila kuiona papuchi. Kwa kawaida ni bao moja kisha unapumzika mpaka baadaye sana au kesho.

Na unajuwa ukishakojoa siyo lazima uende la pili, hakikisha kabla hujakojoa basi umeshamlizisha mwenzio vya kutosha kufikia hatua yeye mwenyewe anadai ukojowe mpumzike, je inawezekana? ndiyo inawezekana, kazi ni kwako. Mimi ndiyo njia ninayoitumia miaka yote.
 
Jaman Wapendwa Me Ni Nurse Mcdhan Njia Za Kisasa Za Uzaz Wa Mpango Ni Mbaya Namshaur Hyo Dada Aende Zahanat Yoyote Iliyokaribu Nae Atapata Ushaur Mzur Mana Kuna Njia Za Mda Mfupi,mref Na Zakudumu

Wewe endelea tu na kazi yako ya u-nurse wala usiwe na wasiwasi wagonjwa wapo wengi sana.
 
Back
Top Bottom