Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Kifupi wazee dawa wako Ulaya na Marekani ambako unavikuta vizee vikongwe vigunduzi vya vitu kibao vinavyotumika dunia nzima huku kwetu ukisikia uzee dawa maana yake ni kizee kinachochonga mdomo Sana Kama Generali Ulimwengu
 
Tatizo haya wanayasema baada ya Magufuri kufariki mtu mzima mwenye hekima na busara alitakiwa kutokuwa mwoga na akasema akiwa hai. Vinginevyo ni unafiki mtupu hata kama yana maana
Potelea pweeeeteeeee
 
Utakuta wewe unashindia mlo mmoja hayo madaraja waachie wenye magari wawahi foleni
Chadema tunasema tunataka maendeleo ya Watu kwanza.
Chadema akili Hamna kwani hao Wenye magari sio watu mnaposema mnataka maendeleo ya watu? Hao wamiliki wa magari sio watu? Pili kwani magari yanayopita hapo wanaopita Ni wamiliki magari tu vipi kuhusu abiria kwenye daladala ,bajaji na bodaboda kwani abiria hawatumii wakiwa kwenye huo usafiri?
 
Ndugu hebu tembelea Vijijini ukaone watu wanavyokunywa matope na umasikini wa kutisha.

Sisi Chadema tunataka Maendeleo ya watu.
 
Utakuta wewe unashindia mlo mmoja hayo madaraja waachie wenye magari wawahi foleni
Chadema tunasema tunataka maendeleo ya Watu kwanza.
Niwe sina gari nitapanda daladala.. tehe..

Hilo daraja ni maendeleo ya kina nani?.
 
Jenerali amesahau. Mwendazake alikuwa anaongoza nchi bila Cabinet. Alikuwa anaiongoza nchi:yeye,Ombeni Sefue na media.(Halafu ile media ilikuwa haijataifishwa kama sasa) Kwa maana hiyo,yule dikteta alikuwa anaiongoza nchi kwa msaada wa akina Jenerali. At least,ndivyo ilivyokuwa siku za kwanza,mpaka yule dikteta alipoongeza mshahara wa walinzi wake.
 
Zee zima Professa linajidhalisha eti limeokotwa jalalani[emoji3],Asante Jenerali
 
Hebu tembelea Ndugu zako huko Vijijini ukawaone wanavyokunywa juisi ya matope ya typhoid

CHADEMA tunasema Maendeleo ya Watu kwanza.
Peoples Power
Mbona hueleweki sasa?

Kila mtu aguswe na eneo lake.

Foleni ya Ubungo ilikuwa kwikwi?. Maendeleo ya watu ni pamoja na daraja hilo.Maji.Umeme.Barabara.

Kama hujui maana ya maendeleo ya watu rudi ukamuulize upya muasisi wa neno hilo. Uko chaka.
 
Foleni ya Ubungo ilikuwa kwikwi?. Maendeleo ya watu ni pamoja na daraja hilo.Maji.Umeme.Barabara.
Bila hela mfukoni ni kazi bure ndugu, hata Ethiopia wana ma flyover lakini watu ni masikini wa kutupwa hadi wanaikimbia Nchi yao.

CHADEMA tutaleta wawekezaji wa kutosha ili Watanzania wapate ajira za uhakika zenye kulipa tutaongeza kima cha chini cha mishahara hadi milioni.
 
Yaan anapoteza muda mwingi ,anamwingelea MTU ambaye hayupo.Namshauri huu muda anaopoteza angekaa na wanafamilia wake ,amuombe Mungu wake.Kwa kuwa uzee umeshamkamata.
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.

,
 
Back
Top Bottom