Kweli mawazo mabaya sanaBe happy, Cheka sana pale inapobidi, be positive.
Asante sanaMazoezi, kula matunda na maji mengi, punguza vyakula vya mafuta na unywaji wa pombe hasahasa pombe aina ya beer. Kwa mwanaume chakata papuchi inapobidi sio kila mara, na goli moja au mbili inatosha. Endesha maisha yasiyohatarishi kupunguza msongo wa mawazo (stress). Epuka magonjwa na kupunguza madawa kwani yanakuwa na chemikali. Ukizingatia haya angalau miaka 120 unafikisha!
OkeyBe happy, Cheka sana pale inapobidi, be positive.
Tena Afurahi HaswaaahBe happy, Cheka sana pale inapobidi, be positive.
Hawa Ndiyo Living Forever, GNLDTumia food supplements/tibalishe kwa maelezo zaidi na mahitaji call 0688184620
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona biashara tena?Tumia food supplements/tibalishe kwa maelezo zaidi na mahitaji call 0688184620
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaMuda ukifika hakuna dawa mzee baba, uzee hautibiki. Usipojionyesha usoni utaonekana kwenye ngozi, kwenye akili yako, kwenye afya yako ya viungo vya ndani na vya nje ya mwili. Njia bora ya kukabiliana na uzee ni kujiandaa kisaikolojia na kuukubali na kuishi kufuatana na umri wako, kitabia na vitendo
DuuuuhhUzee unaweza kuusogeza mbele! Nenda vijijini kijana wa miaka 35 mzeee! Na wa miaka 55 ni kikongwe wakati mjini umri huo wanatafuta mabinti wabichi wa kuoa!