Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Vyoote mbwembwe!! Saka hela jamaa yangu! Cheki p diddy bado kijana kabisa!

Ukiwa huna hela stress hazikuishi!! Kula vizuri mtihani! Kulala vizuri mtihani! Sasa unaachaje kuzeeka mapema! Labda mungu tu awe amekupa mwili mzuri wa kuchelewa kuzeeka!
 
Mazoezi, kula matunda na maji mengi, punguza vyakula vya mafuta na unywaji wa pombe hasahasa pombe aina ya beer. Kwa mwanaume chakata papuchi inapobidi sio kila mara, na goli moja au mbili inatosha. Endesha maisha yasiyohatarishi kupunguza msongo wa mawazo (stress). Epuka magonjwa na kupunguza madawa kwani yanakuwa na chemikali. Ukizingatia haya angalau miaka 120 unafikisha!
Kwenye vyakula hapo pia aepuke wanga na ngano na vyakula +vinywaji vya sukari ,, mafuta yanayotakiwa kutumiwa ni kama oliva oil, mawese n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom