Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Uzee unaweza kuusogeza mbele! Nenda vijijini kijana wa miaka 35 mzeee! Na wa miaka 55 ni kikongwe wakati mjini umri huo wanatafuta mabinti wabichi wa kuoa!
sio mara zote kuna mzee nimemuona ana miaka 70 ila ndo kama ana 50.kuna bibi ana miaka 80 ila analima kama kawaida tena kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Life style matters. Kuna aina fulani ya life style ukiendekeza utazeeka haraka (kwa maana ya mwili kuchoka haraka na kusumbuliwa na magonjwa na sio miaka yako kuongezeka haraka kuliko wengine 😁).

Katika ujana wako ukiendekeza starehe sana, mambo ya pombe, fegi, ngono, vyakula visivyo na virutubisho muhimu mwilini, kutokufanya mazoezi, n.k hakika utazeeka mapema.

Ili kujiweka safi epuka kuzidisha mambo niliyotajwa hapo juu na uwe mtu wa kufanya mazoezi hata aerobics tu walau hata mara tatu kwa week. Generally kuwa active sio kila mahali unatumia usafiri sometimes tembea tembea.
 
Kila kitu ni sacrifice sasa ukitaka usionekane mzee maana umri huwezi kuuzuia kitu kikubwa ni vyakula kula healthy(utakua unajua maana ya kula healthy nadhani)na maji ya kutosha

Epuka stress kua happy mda wote
 
Life style matters. Kuna aina fulani ya life style ukiendekeza utazeeka haraka (kwa maana ya mwili kuchoka haraka na kusumbuliwa na magonjwa na sio miaka yako kuongezeka haraka kuliko wengine [emoji16]).

Katika ujana wako ukiendekeza starehe sana, mambo ya pombe, fegi, ngono, vyakula visivyo na virutubisho muhimu mwilini, kutokufanya mazoezi, n.k hakika utazeeka mapema.

Ili kujiweka safi epuka kuzidisha mambo niliyotajwa hapo juu na uwe mtu wa kufanya mazoezi hata aerobics tu walau hata mara tatu kwa week. Generally kuwa active sio kila mahali unatumia usafiri sometimes tembea tembea.
Nauli[emoji5]
 
Kila kitu ni sacrifice sasa ukitaka usionekane mzee maana umri huwezi kuuzuia kitu kikubwa ni vyakula kula healthy(utakua unajua maana ya kula healthy nadhani)na maji ya kutosha

Epuka stress kua happy mda wote
We unafanya hivyo au unasema tu?
 
Hyo inaitwa "down ageing" unaweza kuifanya kwa mtindo ufuatao.
1. Kufanya mazoez ktk maisha yako yote.
2. Kulala kwa wakati na kuamka kwa wakat. Atleast masaa manane kwa siku.
3. Kula balanced diet, hapa jiepushe sana na vyakula vya mafuta na wanga.
4. Epuka pombe au vileo vingne.
5. Kufanya tendo la ndoa kwa kiasi, kumbuka too much is harmful.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom