Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Mimi navyofahamu kijijini hawazeeki kutokana na kulima ambayo ni sawa na mazoeziUzee unaweza kuusogeza mbele! Nenda vijijini kijana wa miaka 35 mzeee! Na wa miaka 55 ni kikongwe wakati mjini umri huo wanatafuta mabinti wabichi wa kuoa!
Waooow! Nice one[emoji122]Fanya mazoezi kadri uwezavyo
Eat balanced diet
Stop eating red meet
Avoid over whelming and depression at any cost
Try to have safe sex whenever possible
Life happen,Rich and poor happen. but people pass over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachelewesheka lakiniUzee haukwepeki
Sasa tufanyeje, vyakula saivi navyo sumu tupu
Sema sasa namna ya kuukataa
Asali upatikanaji wake sasa!!Fanya mazoezi.
Kunywa maji mengi
Lamba asali.
Tumia sana vitunguu swaumu.
Pata muda wa kupumzika.
sio mara zote kuna mzee nimemuona ana miaka 70 ila ndo kama ana 50.kuna bibi ana miaka 80 ila analima kama kawaida tena kila sikuUzee unaweza kuusogeza mbele! Nenda vijijini kijana wa miaka 35 mzeee! Na wa miaka 55 ni kikongwe wakati mjini umri huo wanatafuta mabinti wabichi wa kuoa!
Kuna mzee pia nimemwona analima na safari zake nyingi ni Miguu, ana miaka 84 sasa.sio mara zote kuna mzee nimemuona ana miaka 70 ila ndo kama ana 50.kuna bibi ana miaka 80 ila analima kama kawaida tena kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli[emoji5]Life style matters. Kuna aina fulani ya life style ukiendekeza utazeeka haraka (kwa maana ya mwili kuchoka haraka na kusumbuliwa na magonjwa na sio miaka yako kuongezeka haraka kuliko wengine [emoji16]).
Katika ujana wako ukiendekeza starehe sana, mambo ya pombe, fegi, ngono, vyakula visivyo na virutubisho muhimu mwilini, kutokufanya mazoezi, n.k hakika utazeeka mapema.
Ili kujiweka safi epuka kuzidisha mambo niliyotajwa hapo juu na uwe mtu wa kufanya mazoezi hata aerobics tu walau hata mara tatu kwa week. Generally kuwa active sio kila mahali unatumia usafiri sometimes tembea tembea.
Njanuary hii kweli? Ngoja niuze koti la suti.Nauli[emoji5]
We unafanya hivyo au unasema tu?Kila kitu ni sacrifice sasa ukitaka usionekane mzee maana umri huwezi kuuzuia kitu kikubwa ni vyakula kula healthy(utakua unajua maana ya kula healthy nadhani)na maji ya kutosha
Epuka stress kua happy mda wote