Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Ni Pendo, Apenda Watu!!!!!
 
Vyoote mbwembwe!! Saka hela jamaa yangu! Cheki p diddy bado kijana kabisa!

Ukiwa huna hela stress hazikuishi!! Kula vizuri mtihani! Kulala vizuri mtihani! Sasa unaachaje kuzeeka mapema! Labda mungu tu awe amekupa mwili mzuri wa kuchelewa kuzeeka!
 
Kwenye vyakula hapo pia aepuke wanga na ngano na vyakula +vinywaji vya sukari ,, mafuta yanayotakiwa kutumiwa ni kama oliva oil, mawese n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku zimekutupa mkono tuliza mshono basi !
Halo JF. Hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2020.

Uzee ni kitu kisichoepukika ila baadhi hawaupendi. Naomba tujadiliane humu ni namna gani ya kuchelewesha kama sio kuuzuia uzee. Mbinu zote za kisayansi na kienyeji zinakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…