Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Duu kama una utamani uzee sio tatizo lakini nazani kuna pahala katika maisha yako umeishi mbele ya muda namaanisha kuna namna ulicheza rafu na kuwa na tabia za kuvutia viumbe wengine ni watu wachache sana na kamwe hakuna atakaeweza kuelewa unachoweza kumwambia............ na kujikuta unapata nguvu za ziada na kufanya mambo makubwa ya ajabu sana

yasiyotegemewa yaani njee na mbali ya uwezo wako. Muombe alive ndani yako atakusaidia lakini usikubali kuwa wewe kwani unaweza kujishangaa nimewahi kusimuliwa stori kama yako nikiwa kijijini nami kwa wakati ule nilitamani initokee lakini ikashindikana sio maamuzi hii huja automatic ni kama myths kwani inategemea na imani ya mtu na mapito ya maisha yake

Kuepusha contradiction niishie apo kwa kuwa issue za malezi, imani, mafanikio, power, kipaji, laana na bahati ni very subjective mtu na watu na vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru Mungu inaonekana umepata mafanikio na hiyo ni ishara nzuri sana ya kuridhika na pia kujisikia kuwa umefanya yote kwa wakati.

Wengi wetu hushtuka sana kuona mwaka umeisha.
 
Siutamani uzee,natamani nistopishe miaka au niirudishe nyuma. Nikifikiria uzee nakosa amani kabisa
 
Umeshaanza kuwatengenezea watoto mazingira ya wao kuja kukutunza? Ila ujue watoto wako sio lazima wafanane na wa mzee yeyote unayetamani kuwa kama wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be old is compulsory, to feel old is optional.
 
Vijana kama ni muda wa kutafuta pesa ni sasa, Muda wa kusaka shekeli ili usiaibike uzeeni ni sasa,

inasikitisha leo nimepishana na mbaba mmoja hivi ukimwangalia kama mzee lakini anaonekana ni wa umri wa kati ya miaka45--50 hivi akiwa na Fuko akiokota makopo, kiukweli ukimwangalia ni ana nguvu kabisa nilivyosogea karibu yake akanisimamisha na kuniomba mia tano na kusema hajala tangu jana,

Nashukuru Mungu nilikuwa na senti maana mimi mwenyewe bado apeche alolo tu sina ata mee nikamuachia Buku lakini nikaondoka na kujiuliza maswali mengi,

Kwa Umri wake anaonekana kabisa ni baba mwenye familia je Watoto wake wanaishije?
Kama baba mtafutaji hajala tangu jana kwa mujibu wa maneno yake huko familia yake inaishi vipi?
Watoto zake wanasoma kweli? Anamudu vipi gharama za kuwanunulia uniform au daftari wanae kwa hali ile?
Ana Akiba yeyote kweli kusema kwamba Akipatwa na tatizo la ghafra kama Ugonjwa inaweza kumsaidia?

Nilijiuliza maswali mengi aswaa na mengi kati ya hayo sikuwa na majibu nayo?

Vijana Tutafute pesa tukiwa na huu mwili wa ukijana Uzee wetu unakuja usipojipanga sasa Uzee wako utakuwa ni uzee wa kuteseka,.


Cc Zero IQ
 
inasikitisha leo nimepishana na mbaba mmoja hivi ukimwangalia kama mzee lakini anaonekana ni wa umri wa kati ya miaka45--50 hivi akiwa na Fuko akiokota makopo, kiukweli ukimwangalia ni ana nguvu kabisa nilivyosogea karibu yake akanisimamisha na kuniomba mia tano na kusema hajala tangu jana,


Na wewe ukaamini kabisa kwamba hajala toka jana?


Cc; mahondaw
 
Sikutaka kuamini wala ila kwa hali niliyomkuta nayo ata kama alikula sio chakula ambacho wewe mwenye hela zako kiasi unavyokula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…