DOKEZO Uzembe wa Hospitali Kuu ya Mkoa Morogoro umesababisha kifo cha Mwanafunzi wa SUA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lazima waangalie ni kweli huyo daktari alikuwa na kazi kiasa cha kushindwa kuhudumia wengine. Inawezekana kuna upungufu kweli wa madaktari.
Serikali inatakiwa kuajiri madaktari wengi zaidi wawepo wa ziada kabisa. Au waruhusu tu kuwepo na wataalam binafsi ambao watakuwa wanaweza kutoa huduma za dharura kwenye hospital za umma kunapokuwa na uhitaji wa dharura.
 
Si rahisi kihivyo,angekufa wakati anafanyowa upasuaji namama yake ingekuwa msala
 
Mama yake hawezi kuumia maana inaonekana kuna shortage ya madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Lazima aumie kuna vitu kama taifa vinaepukika.

Mfano Shortage ya madaktari wakati tuna vijana wengi wanao hitaji ajira wako wengi mtaani .
Kituko ni kwamba mwisho wa mwezi uliopita kuna tangazo la ajira ya daktari bingwa lilichapishwa, alikuwa akitafutwa ambae anaweza kuingia mkataba wa kujitolea, sasa kama madaktari wetu tunao wategemea wanajitolea ufanisi utatoka wapi.?

Shida ya nchi yetu kila kitu tumekifanya siasa.
 
CCM must go
 
Hii ni mbaya, (MKUMBUKE KULA ASEE SHULE IPO TU IKIGA BASI) Sema balaa la bls sio poa
 
Kwanza pole kwa familia. Kuna watu hawataona uhusiano wa CCM na serikali yake na hili tukio lakini ukweli ni kuwa vina uhusiano. Tunarudi pale pale, utasema mimi sihusiki na siasa lakini madhara ya uongozi mbovu yanatupata wote.
Tukijadili kiundani walio husika na kifo kwa namna moja au nyingine ni vyura.
 
Hospital ya mkoa morogoro ni takataka kabisa,hakuna huduma za maana pale, poleni sana, hii nchi imelaaniwa aisee,yaani wenyewe kwa wenyewe hatujaliani kabisa
 
Mama yake hawezi kuumia maana inaonekana kuna shortage ya madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Who told you yaani torsion ya utumbo iwe sawa na mjamzito
 
wangempa ruferal akawahishwa hata Dar
mbaya sana
wanafunzi wenzake wamekaa tu kimya
Hapo Umenena mkuu. Wanafunzi wenzake Ndiyo walitakiwa kuanzisha valangati la kutaka majibu ya kina toka kwa ganga mkuu. Lakini wameufyata kwenye vimbweta eti wanajiandaa na final exams. Foolish!! Wenzao Kenya kupanda kwa mkate na chumvi walivamia Bunge na kunywa soda na bugger kwenye meza ya speaker. Hao wanafunzi ni Gen X.
 
Hauna akili.
 
Intestinal Obstruction aint that life threatening condition unless otherwise with complications.

Kwa scenerio ya hapo juu ni kwamba mgonjwa alikua amewekwa kwenye matibabu ambayo ni non surgical kama kuendelea kufanya Iv resuscitation na monitoring.

Mpaka wanasema anaweza kusubiri that means hakua kwenye first priority
Lazima tukubali kwamba wataaluma tunapata shida sana na mazingira ya kazi

Doctor patient ratio mpaka sasa kwa nchi yetu bado hairidhishi kabisa

Kuhusu Mama kumpasua mwanaye ni Against code of ethics za kitabibu na sio kila daktari anaweza ku intervene IO
 
Morogoro hospital ni hospital ya kipumbavu probably kuliko zote za umma inchini. Hapo walikua wanataka rushwa. Niliwahi kwenda na mtoto ameishiwa damu hapo, walisema damu zimeisha. ila ikapatikana baada ya kulipa sh. 25,000. Hizi hospital za umma ifike time walipe mishahara Toka pesa wanayozalisha ndipo huo ujinga ujinga wanaouganya utakoma. Kwasasa hawana motivation ya kufanya vizuri maana mshahara uko pale awajibike asiwajibike
 
Ccm ni mashetani
 
Huu udaktari wa kukariri huu. Practically, utumbo ukijikunja unaanza kuoza ule upande ambao haupati damu ya kutosha , unless unaleta story za Google hapa
 
Sasa kama Sua hapo ni Moro mjini mambo yako hivyo je huko ndani ndani si washkaji wanadondoka kibao tu.
 
Inauma sana, mama mzazi kwa kushuhudia kifo cha mwanaye kutokana na uzembe wa hospitali itakabaki kuwa kumbukumbu mbaya kwake.
atupe kazi hao waliomkatalia kumfanyia mwanae upasuaji tuwateke tuwatese kwa maumivu makali na kuwakatakata vipande mpaka kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…