DOKEZO Uzembe wa Hospitali Kuu ya Mkoa Morogoro umesababisha kifo cha Mwanafunzi wa SUA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
@kogoshima soma hapa utaelewa kwa lugha ya ki tomaso itakufaa
 
Sijui kwanini wanafunzi pale SUA wanafariki kutokana na hili tatizo kwa wingi haswa third year ambao wanakaribia kumaliza
Kuchunguzwe tatizo nn naongea hivi kwakua ni mhitimu wa hicho chuo na zishatokea izo case wakati nasoma
 
So laki 8 tu ndio mliona nyingi? Umaskiani huu, sativa ame clear juzi bili ya 32mill
 
Kabla ya kulaumu inawezekana madactari wa upasuaji ni wachache sana ...
 
Pole sana kwa msiba.

Sababu za utumbo kujikunja huwa ni nin?
Sio njaa??
 
Ni kweli mkuu lakini kwa issue ya emergency, labda ithibitike kulikuwa na wagonjwa wenye serious case kumzidi.
Nachojiuliza hospital ya mkoa morogoro Nina Imani ina department mbali mbali upande wa tiba Sina uhakika daktar anaefanya upasuaji kwa mama mjamzito (obstetrician) ndio atatakiwa afanye na majukum ya idara ya upasuaji wa mfumo wa chakula (surgical gastroenterology)
Na Sina uhakika na siku mbili mgonjwa asihudimiwe
Pia najiuliza mama yake ambae daktar anakuwaje na fikra za kufanya kazi kwenye taasisi ambayo hayuko authorized
Nina mashaka na taarifa hii japokuwa naumia kwa kumpoteza kijana mwenzangu poleni kwa wafiwa na SUA kwa ujumla
 
So sad,Dunia hii basi tu,binadamu sisi ni tatizo asa nchi zinazoendelea huduma za afya ni tatizo.Huduma zetu za afya bado kabusa Kuna siku mdogo wangu alifanyiwa operation akajifungua salama badae akaanza vimba uso nesi aliyekuwepo hakujali kumwita Dr,Hadi aliponipigia simu kuwa hayupo vizuri na baada ya kwenda kufika na kuanza kufatilia kwa jaziba Kali na maneno juu Ndo akafanyiwa maana nilianzia ofisi za wakubwa zao kwa jaziba Kali Ndo akauduniwa haraka sana.Watoa huduma wetu wabadilike Dunia ni mapito watende wema.Pole sana wafiwa ndugu jamaa na marafiki.RIP
 
Wakuu, Umasikini ni laana kabisa imagine watu wameshindwa kutoa 800k mtu afanyiwe upasuaji Private, Apumzike kwa Amani
 
Wakuu, Umasikini ni laana kabisa imagine watu wameshindwa kutoa 800k mtu afanyiwe upasuaji Private, Apumzike kwa Amani
Na huyo et n mtoto wa daktar na mwanafunzi wa chuo anakuwa na bima kuna vitu nashindwa kuvielewa kwa kweli nahisi mtoa taarifa kuna mahali anatupanga
 
CCM CCM na hapo Chuoni utakuta kutwa nzima mnakimbizana na tshirt za CCM, hakuna tatizo jingine zaidi ya CCM na endeleenu kuwa wajinga hapo chuoni na kujipendekeza kwao.
 
Sio nchi zinazo endelea sema CCM, shida ni CCM na tuendele kuwaabudu tu
 
Wakuu, Umasikini ni laana kabisa imagine watu wameshindwa kutoa 800k mtu afanyiwe upasuaji Private, Apumzike kwa Amani
Hio ni Hospitali ya Umma wanapaswa kumtibu mgonjwa then gharama baadse. Nyie ni Ma.ta.ko sana, huduma za mzingi na za haki mnataka zipigiwe magoti? Hio hispitali inaendeshwa kwa pesa za CCM au kodi zetu? Wewe ni moja ya wajinga wa hili taifa katika asilimia 90 ya wajinga na weww umo.

Nyie ndio wale mnao nunua haki zenu za msingi.
 
Na huyo et n mtoto wa daktar na mwanafunzi wa chuo anakuwa na bima kuna vitu nashindwa kuvielewa kwa kweli nahisi mtoa taarifa kuna mahali anatupanga
Haijalishi, kwani hio hospitali ni ya Private? si inaendeshwa kwa kodi za raia? Wewe naye ni mpumbavu sana, hio ni haki ya msingi, Hispitali inaendeshwa kwa kodi zetu.Matibabu ni haki ya msingi, walipaswa jutibu mgonjwa wakati anapata nafuu waulize gharama.

Mawazo kama yako watawala wakiyasoma wanafurahi sana kuona ni kiwango gani wanaongoza Mapimbi
 
Wakuu, Umasikini ni laana kabisa imagine watu wameshindwa kutoa 800k mtu afanyiwe upasuaji Private, Apumzike kwa Amani
Coment yako watawala wakiisoma wanagonga glass za wine kwa kufurahia ni kiwango gani wanatawala watu wajinga sana katika nchi hii.
 
Hivi ni kweli kwamba mlikosa laki nane wanachuo wote kuchangishana tu mlishindwa jamani
 

So sad,Mungu ampumzishe mahala pema peponi.Amina!
 
Elewa nilichoandika acha kutumia mihemko mzee rudia tena kusoma
Nb. D mbili muhim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…