Nakupaje takwimu ilhali wewe hujaweka huo ushahidi kuthibitisha hayo maisha magumu unayoyasema?Bro hupendi kupingwa?
Hupendi maoni yanayo ku- challenge?
Gharama za maisha zipo juu sana.
Kazi pamoja na yote hayo tajwa hapo juu tunaomba takwamu za wasio na kazi.
Vipi kuhusu kodi mkuu wanakataje?
Ila najiuliza hawa ndugu zetu wanaorudigi mikono mitupu wao huwa wanakuja kulala au?
Wapi Le Mutuz mzee wa mabebezz
Naam, ni kweli kabisa zipo Kazi nyingine za Kitaaluma zinazolipa hata zaidi ya hiyo $200k uliyoitaja kwa mwaka.Pia ukiwa elimu imepanda si elimu UCHWARA ya kuunga unga na gundi kama ya jiwe unaweza kuvuta zaidi $200K kwa mwaka na wako Wabongo wengi tu wanavuta hiyo pesa ndefu.
Ila kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.Huo mshahara ulioutaja unaweza onekana mkubwa Tanzania kwa wenzetu ni wa kawaida sana. Maisha ghali sana, matibabu, nyumba, vyakula, kodi etc.
Ila kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.
Hiyo $4000 ni net pay na ukiibadili kwa madafu ni kama 7mTshs hivi.
Isitoshe hiyo 4000 akiamua aweke $1000 akiba kwa mwaka ana $12000 kwenye akaunti zapumua.
Hiyo $3000 ndio ya matumizi kwa ujumla na kama hauko committed basi waweka yote benki.
Je, kwa mazingira ya sasa ni mwajiriwa yupi wa kawaida alipwa 7M kwa mwezi?
Uko sawa kabisa maporn star hawalipwi peda nyingi kama watu wanavyofikiri tena wanaume ndo kabisa. At least wanawake na wale gays wanaogongwa na kugonga.Porn stars wengi ni masikini..tena wale maarufu kabisa..
Hata Floyd alikuwa porn star Ila hana hela
Si huyo pekee masikini wapo Nyota wengi tu wamezikamata na kisha wakafulia.Porn stars wengi ni masikini..tena wale maarufu kabisa..
Hata Floyd alikuwa porn star Ila hana hela
Sijui tafsiri yako nini unaposema 'Hawalipwi Pesa nyingi',Uko sawa kabisa maporn star hawalipwi peda nyingi kama watu wanavyofikiri tena wanaume ndo kabisa. At least wanawake na wale gays wanaogongwa na kugonga.
Wanalipwa pesa ndogo per scene
Ikilinganishwa na kazi wanayofanya na ufahamu wanaojitoaSijui tafsiri yako nini unaposema 'Hawalipwi Pesa nyingi',
Kulinganisha na wa-kipato gani pengine?
Kwa taarifa hiyo ni Tasnia ya 'Mabilioni ya Dolari'.
Inapita tasnia nyingi tu kwa Kuingiza Pesa moja kwa serikali lakini pia kwa washiriki na ni pana sana tofauti na kujadili 'kudinyana tu'.
Kama umegundua, sikuandika wanaingiza wanaingiza kiasi gani ,sikufanya hivyo kwa bahati mbaya,
Ni kwa makusudi kutokana na kimaadili.
Lakini tukianza kuchambua hapa kipengele kwa kipengele hapatakalika hapa,
Na huenda kuna watu wataitamani hiyo kazi na si lengo la uzi huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Porn stars wengi ni masikini..tena wale maarufu kabisa..
Hata Floyd alikuwa porn star Ila hana hela
Hiyo $4000 kwa mwezi inaweza onekana kubwa kibongobongo ila huko mbele ni balaaIla kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.
Hiyo $4000 ni net pay na ukiibadili kwa madafu ni kama 7mTshs hivi.
Isitoshe hiyo 4000 akiamua aweke $1000 akiba kwa mwaka ana $12000 kwenye akaunti zapumua.
Hiyo $3000 ndio ya matumizi kwa ujumla na kama hauko committed basi waweka yote benki.
Je, kwa mazingira ya sasa ni mwajiriwa yupi wa kawaida alipwa 7M kwa mwezi?