dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
- Thread starter
- #41
Nakupaje takwimu ilhali wewe hujaweka huo ushahidi kuthibitisha hayo maisha magumu unayoyasema?Bro hupendi kupingwa?
Hupendi maoni yanayo ku- challenge?
Gharama za maisha zipo juu sana.
Kazi pamoja na yote hayo tajwa hapo juu tunaomba takwamu za wasio na kazi.
Swala la takwimu ni Hoja nyingine kabisa na kwakuwa umeiona ingependeza uifungulie Uzi maalumu tuje kujadili huko.