Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Bro hupendi kupingwa?
Hupendi maoni yanayo ku- challenge?
Gharama za maisha zipo juu sana.

Kazi pamoja na yote hayo tajwa hapo juu tunaomba takwamu za wasio na kazi.
Nakupaje takwimu ilhali wewe hujaweka huo ushahidi kuthibitisha hayo maisha magumu unayoyasema?

Swala la takwimu ni Hoja nyingine kabisa na kwakuwa umeiona ingependeza uifungulie Uzi maalumu tuje kujadili huko.
 
Kwa opareta wa folk lift na reach steacker kama mimi.. kazi zipo? maslahi yakoje? Asante..
Vidume wanapiga hadi $40k kwa mwaka.
Sijakuelewa hapo nilipopigia mstari.
 
Kiduku lilo ana maoni gani kuhusu hili?
Kanifuata chemba anataka nimfanyie mpango akajiweke kwenye 'Oil rig' .
Maisha kweli nyoko, yale makidai yake ni kwenye keyboard tu.😀
 
Sasa si jibu? Ok it's 7.25 $ per hour. Haya turudi kwenye hoja yangu. Tupe minimum gharama za mortgage, gas, umeme, matibabu, insurance, tax, usafiri, msosi, etc.
Ngoja nijibu kwanza wenye maswali yenye msingi.
 
Vipi kuhusu kodi mkuu wanakataje?
Ila najiuliza hawa ndugu zetu wanaorudigi mikono mitupu wao huwa wanakuja kulala au?
Wapi Le Mutuz mzee wa mabebezz

Si kila alieko Dar es salaam au popote Tanzania ana mafanikio.
Wapo wengine hata kumudu mlo wa siku ni shida hiyo haimaanishi kuwa maisha
Dar ni mabaya au hayafai na huko ndio hivyohivyo.

Pili, unamjua huyu uliemtaja hapo juu?

Usiwe kama Kunguru kupiga makelele kwakuwa wenzako wanapiga kelele.
 
Pia ukiwa elimu imepanda si elimu UCHWARA ya kuunga unga na gundi kama ya jiwe unaweza kuvuta zaidi $200K kwa mwaka na wako Wabongo wengi tu wanavuta hiyo pesa ndefu.
Naam, ni kweli kabisa zipo Kazi nyingine za Kitaaluma zinazolipa hata zaidi ya hiyo $200k uliyoitaja kwa mwaka.

Mfano mzuri ni Watabibu wanaitwao Gastroenterologists na Proctologists hawa Mzee wanakunja kati ya 300k hadi 400k kwa mwaka.

Changamoto yake Msuli wa kuhitimu taaluma hizo pamoja na gharama zake za Masomo si kitu kidogo.
 
Huo mshahara ulioutaja unaweza onekana mkubwa Tanzania kwa wenzetu ni wa kawaida sana. Maisha ghali sana, matibabu, nyumba, vyakula, kodi etc.
Ila kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.

Hiyo $4000 ni net pay na ukiibadili kwa madafu ni kama 7mTshs hivi.

Isitoshe hiyo 4000 akiamua aweke $1000 akiba kwa mwaka ana $12000 kwenye akaunti zapumua.

Hiyo $3000 ndio ya matumizi kwa ujumla na kama hauko committed basi waweka yote benki.

Je, kwa mazingira ya sasa ni mwajiriwa yupi wa kawaida alipwa 7M kwa mwezi?
 
$4,000 ni zaidi ya milioni 7 za Tanzania. Unajua hata conversion rate from U$ to T. shs?
Ila kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.

Hiyo $4000 ni net pay na ukiibadili kwa madafu ni kama 7mTshs hivi.

Isitoshe hiyo 4000 akiamua aweke $1000 akiba kwa mwaka ana $12000 kwenye akaunti zapumua.

Hiyo $3000 ndio ya matumizi kwa ujumla na kama hauko committed basi waweka yote benki.

Je, kwa mazingira ya sasa ni mwajiriwa yupi wa kawaida alipwa 7M kwa mwezi?
 
Cost ya maisha ni kubwa sana hiyo mishahara hakuna kitu hapo
 
Porn stars wengi ni masikini..tena wale maarufu kabisa..
Hata Floyd alikuwa porn star Ila hana hela
Uko sawa kabisa maporn star hawalipwi peda nyingi kama watu wanavyofikiri tena wanaume ndo kabisa. At least wanawake na wale gays wanaogongwa na kugonga.
Wanalipwa pesa ndogo per scene
 
Porn stars wengi ni masikini..tena wale maarufu kabisa..
Hata Floyd alikuwa porn star Ila hana hela
Si huyo pekee masikini wapo Nyota wengi tu wamezikamata na kisha wakafulia.

Fuatilia lakini wamezitumiaje?

Kama unapata Pesa kisha unazitapanya unategemea nini?
 
Uko sawa kabisa maporn star hawalipwi peda nyingi kama watu wanavyofikiri tena wanaume ndo kabisa. At least wanawake na wale gays wanaogongwa na kugonga.
Wanalipwa pesa ndogo per scene
Sijui tafsiri yako nini unaposema 'Hawalipwi Pesa nyingi',

Kulinganisha na wa-kipato gani pengine?

Kwa taarifa hiyo ni Tasnia ya 'Mabilioni ya Dolari'.
Inapita tasnia nyingi tu kwa Kuingiza Pesa moja kwa serikali lakini pia kwa washiriki na ni pana sana tofauti na kujadili 'kudinyana tu'.
Kama umegundua, sikuandika wanaingiza wanaingiza kiasi gani ,sikufanya hivyo kwa bahati mbaya,
Ni kwa makusudi kutokana na kimaadili.

Lakini tukianza kuchambua hapa kipengele kwa kipengele hapatakalika hapa,
Na huenda kuna watu wataitamani hiyo kazi na si lengo la uzi huu.
 
Ikilinganishwa na kazi wanayofanya na ufahamu wanaojitoa
 
Kubeba box ulaya ni trap kubwa sana usijaribu
 
Ila kwa USA hiyo 60,000 ukiichanganua na kodi utaona aingiza kama 4000 kwa mwezi.

Hiyo $4000 ni net pay na ukiibadili kwa madafu ni kama 7mTshs hivi.

Isitoshe hiyo 4000 akiamua aweke $1000 akiba kwa mwaka ana $12000 kwenye akaunti zapumua.

Hiyo $3000 ndio ya matumizi kwa ujumla na kama hauko committed basi waweka yote benki.

Je, kwa mazingira ya sasa ni mwajiriwa yupi wa kawaida alipwa 7M kwa mwezi?
Hiyo $4000 kwa mwezi inaweza onekana kubwa kibongobongo ila huko mbele ni balaa
 
Back
Top Bottom