Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

Uzi wa jamiiforums usiku wa manane.
Usiku wa manane nishike simu niingie jf kutafuta nini?

Uzi wa kupeana likes sijui na comments.
Za kazi gani?

Uzi wa makapuku forum
Nani kapuku?

Uzi wa New admin under Samia sijui nini nini
Cc Tresor Mandala 🀣🀣
Kuna nyuzi zako hapo
Eti jf usiku wa manane Huwanajadili nn
 
"Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa kijana wa Buguruni" πŸ€” Huu uzi una trend kweli! Ila sijawahi kuulewa unahusu kitu gani hasa.

Kuna siku nilijaribu kuufungua, nikakuta watu wanatukanana! Nikabakia tu mdomo wazi.
Humu yupo jamaa humu humu nimsahau jina(UMUKHAGA) alikuwa anakula majini (anaiomba kiufasa)
NDio itajiri apate
 
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka

Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi.

Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule wa "Tupia picha ya mdada wowote mzuri" ule uzi ukiuendekeza utakuwa Diego Maradona kila siku.

Wewe ni uzi upi huuelewi lakini muda wote una-trend na comments za kutosha?
huo uzi ni kama ISIDINGO the need au days of our lives...ni maisha ya kila siku. Mpaka pale JF itakaposizi kuexist
 
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka

Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi.

Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule wa "Tupia picha ya mdada wowote mzuri" ule uzi ukiuendekeza utakuwa Diego Maradona kila siku.

Wewe ni uzi upi huuelewi lakini muda wote una-trend na comments za kutosha?
Warembo wakali worldwide na ule jf usiku wa manane
 
Back
Top Bottom