Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka

Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi.

Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule wa "Tupia picha ya mdada wowote mzuri" ule uzi ukiuendekeza utakuwa Diego Maradona kila siku.

Wewe ni uzi upi huuelewi lakini muda wote una-trend na comments za kutosha?

Kama
Hupendi hizo nyuzi kwanini usimwambia baba ako au mama ako aje kuandika nyuzi utakazozipenda? Mbona mnakuwa mapopoma sana nyie
 
Hapo ni chawa tu wamejazana hapo


Hizo nyuzi...[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom