Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

1. Kwanni utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini

2. Uzi wa kupeana likes

3. Uzi wa vyakula: Mwanzisha uzi alipost mkate una panya ndani yake. Hiyo picha ilinifanya niuchukie uzi mzima.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtuachie uzi wetu wa dar vs nairobi.
Kaeni hukohuko kwenye mauzi yenu yakusifiana vishunduu
 
Huu mbona mzuri sana tu boss sema mwanzoni unaweza usiuelewe
Sijamaanisha ninauchukia! Maana yangu ni kwamba, kila siku ninauona huo uzi uki trend, ila sijawahi kuielewa content yake.

Na kuna siku nilijaribu kuufungua ili kuona kilichomo ndani, nikakuta watu wanatukanana! Nikajikuta nimetoka kapa.
 
Kuna uzi unaitwa yanayoendelea cjui updates ya vita vya urus na Ukraine. Uzi unatembea balaa Sasa cjui ni mambo gan yanawafurahisha watu kwenye ule uzi... Sometimes nahis ule uzi unajaza tu servers japo servers sio za bibi yangu
 
1.kula tunda kimasihara.

2. Jamiiforums usiku wa manane.

3. kupeana likes sijui na comments.

4. Kwanini utumishi……..

5.Uzi wa kubet

Hizo nyuzi sijawahi kufungua hata siku moja.

Hata hivyo uzi wangu pendwa wa Chakula kuna watu hawajawahi kuufungua, kweli mtu chake.
Namba 2 una shida gani?

Utumishi again 🤣
 
Kuna uzi unaitwa yanayoendelea cjui updates ya vita vya urus na Ukraine. Uzi unatembea balaa Sasa cjui ni mambo gan yanawafurahisha watu kwenye ule uzi... Sometimes nahis ule uzi unajaza tu servers japo servers sio za bibi yangu
Watu wanajifanya akina Ben Kiko kusimulia vita vya Ukraine wakiwa wapo Chanika
 
Back
Top Bottom