Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na ulitamani wengine wapate nasaha ya kuusoma pia.
Huu naufuatilia mpaka keshowewe huna hata wa mfano tukausoma?
Namuogopa sana demu anayebetOfkozi ni uzi wa kubet
Namuogopa sana demu anayebet
Uzi gani?Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na ulitamani wengine wapate nasaha ya kuusoma pia.
Mimi binafsi ni huu:-
Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6. Mamlaka ya chakula na dawa 7. SSRA 8. NSSF/PSSSF 9. BOT 9. Bunge 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali...www.jamiiforums.com
Karibu.
Hivi mnaongaga nyie kweli maana stress za kubet mpaka mkeka utiki afu umpe mtu hela yako kweliEndelea kutuogopa hivyo hivyo manake ukituzingua tunakubonda
πππ uzi wa kujikwamua kimaishaMikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni ... - JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
Sasa mimi wa kike nahongaje?Hivi mnaongaga nyie kweli maana stress za kubet mpaka mkeka utiki afu umpe mtu hela yako kweli
Naam, ukiusoma huo uzi lazima ugain MBINU mbali mbali zitakazokusaidia, mojawapo ikiitwa WIN/LOSE πππ€πππ uzi wa kujikwamua kimaisha