Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Honestly huku ndio tumefika sa hivi,mtoa mada katoa wazo zuri sana la ku-summurize nyuzi bora za wakati wote zilizowahi kuletwa humu,lakini naona watu wanaleta nyuzi za masikhara. Binafsi kuna nyuzi za simulizi nazipenda sana,Kuna ile ya Khumbu,Simulizi za The bold karibu zote,Nyuzi ya mshana na mambo aliyoshuhudia wakati ameenda chuo cha Ma-monk,kuna nyuzi humu kuhusu UTT ilinishawishi nikaanza kusevu hela mpaka kwa mara ya kwanza nikafikisha 20 mil,Kuna nyuzi za Lala 1 story za weekend,sijui kapotelea wapi huyu mtu. Zipo nyingi kiukweli.
 
My best creation ever. Kabla sijaanza kuvuta bangi, akili niliyotumia kuandika huu uzi sijui niliitoa wapi😎
Likes Received 490.
 
Uzi wa mshana wa chuo cha mamonk ni hatari sana aisee.
 
My best creation ever. Kabla sijaanza kuvuta bangi, akili niliyotumia kuandika huu uzi sijui niliitoa wapi😎
Likes Received 490.
Nimeupreview chapchap una madini ya kutosha nikitulia nitaupitia nipate chakula cha ubongo.
 
Kuna nyuzi huwa natamani sana nijue zinahusu nini ila ni ndefu sana kusoma

Habari wakuu

Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.

Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na ulitamani wengine wapate nasaha ya kuusoma pia.

Mimi binafsi ni huu:-

Karibu.
Uzi wa Mwasibu OKW BOBAN SUNZU
 
Back
Top Bottom