Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Cc
Kuna nyuzi huwa natamani sana nijue zinahusu nini ila ni ndefu sana kusoma



INSIDER MAN
 
Ule uzi unasema watu tuliowai kupata pesa nakufilisika tukutane hapa.

Ule uzi kwa kijana yoyote anaejitafta ni muhimu sana kuhusoma ule uzi watu wametema sana madini mle kuna watu walishika mpka billion lakini ziliyeyuka.
 

😹😹😹😹😹
 

😹😹😹😹😹
Uzi wa ephen akiwa jeshini ndio uzi wangu bora wa muda wote.

Nakupenda sana ephen wangu sijuwi upo wapi kwa sasa.

ephen njoo huku
 
Back
Top Bottom