Honestly huku ndio tumefika sa hivi,mtoa mada katoa wazo zuri sana la ku-summurize nyuzi bora za wakati wote zilizowahi kuletwa humu,lakini naona watu wanaleta nyuzi za masikhara. Binafsi kuna nyuzi za simulizi nazipenda sana,Kuna ile ya Khumbu,Simulizi za The bold karibu zote,Nyuzi ya mshana na mambo aliyoshuhudia wakati ameenda chuo cha Ma-monk,kuna nyuzi humu kuhusu UTT ilinishawishi nikaanza kusevu hela mpaka kwa mara ya kwanza nikafikisha 20 mil,Kuna nyuzi za Lala 1 story za weekend,sijui kapotelea wapi huyu mtu. Zipo nyingi kiukweli.