Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa Hata kwa mabaya yangu.
Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa ingekuwa poa tu, wakuu tukumbukane, au mnataka tuandamane mpaka ofisi za jamiiforums ndipo mjue na sisi tupo? semeni au tulete mgomo baridi
Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa ingekuwa poa tu, wakuu tukumbukane, au mnataka tuandamane mpaka ofisi za jamiiforums ndipo mjue na sisi tupo? semeni au tulete mgomo baridi