Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Huku ili ukumbukwe kumbukwe lazima uwe maarufu kwa jambo lolote.
Ila kumbuka umaarufu wa jf una gharama zake na gharama zake ni kubwa sana.

Members wanakupa umaarufu, wanakutag tag, shobo kama zote mpaka unajiona wewe ni muhimu sana ila siku wanaamua kukuzima ziiiiiii lazima ubadili ID au ukimbie jf.
 
Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa
Hata kwa mabaya yangu. Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa ingekuwa poa tu, wakuu tukumbukane, au mnataka tuandamane mpaka ofisi za jamiiforums ndipo mjue na sisi tupo? semeni au tulete mgomo baridi
Muulize Mtu anaitwa Gentamycin 🤔
 
DAhhh unanishaurije mkuu na mi ndio nishaanguka hapo kwa mrembo Amehlo nahis kama i cant undo the feeling
Hiki ni chombo cha Gily , the super vilain. Unataka kuniibia tunda langu mchana kweup 😀 mchukue mtalaka wangu Leejay49 bure kabisa😀 acha kuingilia mapenzi ya watu
IMG_20220713_230946.jpg
 
Back
Top Bottom