Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Hata mm pia sijulikani kmaa mtoa mada,ila nimejiunga tangu 2016,nilichojifunza mm ktk jamii forums,ni elimu nyingi zisizo naidadi kutoka majukwaa tofauti tofauti,pia nimekiri kua kuna watu wanajua kuchambua mambo kwa kina sana,pia kuburudika, nnashukuru snaa mexince mello na wenzie ,hakika jamii forum ni kisima cha maarifa.