Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Ukishatambua vitu hivi basi utaacha kujaji kwanini watu watambui uwepo wako humu...

Humu tumekuja kuburudika, kuelimika, kufarijika,
Na humu hatujaliani sababu hatuweki identity zetu halisia tuna fake hakuna anaekulisha humu hakuna anae kulipia kodi, Wala gharama za maisha unapopata matatizo unapigana mwenyewe Yani na pia tambua uchangamfu wako humu na kutoa madini ndo kutakufanya ukumbukwe.
 
Back
Top Bottom