Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ana danki danki mno 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana danki danki mno 🤣
Ana danki danki mno 🤣
Mwambie ivan aje na Id yake ya zamani kwanzaIvan Stepanov mara Depal mtani wangu. Mara kipenzi changu Amehlo unampotosha Sasa na nimekuachia ex Leejay49
Una kizizi?
Una makambi mengi wewe 😀😀😀haaaaaa😬😬😬😬🤣 kwa hiyo unanikimbia unaend kwa Ivan Stepanov ???
Na atulie sehemu moja, aache kuruka rukaMwambie ivan aje na Id yake ya zamani kwanza
Hili ni muhimu alizingatie [emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu uchawi ni hilo jina unalotumia.
Anatuchanganya😀Na atulie sehemu moja, aache kuruka ruka
Na hii ndio sababu ya baadhi ya members kufunga PM zao, kuna watu hawajuwagi kuchat ni full usumbufu na vijiswali vya kitoto.JF ya miaka ya nyuma usipomuona uliyemzoea unamfuata PM kumuuliza kulikoni
Hapa jukwaani watu wanajua wewe chuma changu Unaanzaje kunikataa😀 hao ma ex achana nao kabisaUna makambi mengi wewe 😀😀😀
Huwa mnachangia. Moderator mbona sijawah ona mkichangia uzi zangu😀 nakuja na mada mnabaguaMkuu uchawi ni hilo jina unalotumia.
Hahahana utapoteza Bwana kwa tamaa zako😀Mwambie ivan aje na Id yake ya zamani kwanza
yani we mtu haaa😂😂😂😂🙌🏼Huwa mnachangia. Moderator mbona sijawah ona mkichangia uzi zangu😀 nakuja na mada mnabagua
nimefanyaje tena🤣🤣 unataka nipigw ban? nikipogw bani kutadorora humuyani we mtu haaa😂😂😂😂🙌🏼
na kweli ukipigwa bani kutadorora🤐nimefanyaje tena🤣🤣 unataka nipigw ban? nikipogw bani kutadorora humu
😀😀😀😀😀😀we kuwezaHahahana utapoteza Bwana kwa tamaa zako😀