Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Ndio unapoteza bwana kwa uzembe utajutia๐Ÿ˜€ wakina Johnnie Walker wako mawindoni mda wote wanataka kuharib watoto wazuri๐Ÿ˜€
angalia jinsi vitoto vyetu vilivyo maji ya kunde hadi raha. Utasababisha John aharibu mbegu maana ni mweusi tiii
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ndio unapoteza bwana kwa uzembe utajutia๐Ÿ˜€ wakina Johnnie Walker wako mawindoni mda wote wanataka kuharib watoto wazuri๐Ÿ˜€
angalia jinsi vitoto vyetu vilivyo maji ya kunde hadi raha. Utasababisha John aharibu mbegu maana ni mweusi tiii
Kwani sisi weusi tunashida gani?
 
Kumbe kuna watu mnataka umaarufu wa JF kwa fake ID's!

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Donโ€™t expect anything from anyone utaishi maisha ya amani kabisa
 
Huwa sibet kabisa nilishapoteza hela kitambo sijasahau
Ila Johnnie Walker anabet mpaka muhund anamuonea huruma
Hapa kwakweli umenikosea sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mimi sibet niambie out hapo sawa yaani ata ukiniamsha usingizini ukisema twende kariakoo atakama nimetoka uko tutaenda mzeee
 
Utajulikana kupitia content zako unazo deliver hapa mkuu endapo tu kama zina manufaa,siyo vinginevyo.
 
Hapa kwakweli umenikosea sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mimi sibet niambie out hapo sawa yaani ata ukiniamsha usingizini ukisema twende kariakoo atakama nimetoka uko tutaenda mzeee
Unazurura sana.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€utakufa vibaya
Hapana kabisaa kufa vibaya sio kwel na kama kufa kwasababu yako hilo ondoa was ninaridhia kabisaaaaa yan..Nipe nafasi ndio kitu nahitaji๐Ÿ˜‰
 
Back
Top Bottom