Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Hata mm pia sijulikani kmaa mtoa mada,ila nimejiunga tangu 2016,nilichojifunza mm ktk jamii forums,ni elimu nyingi zisizo naidadi kutoka majukwaa tofauti tofauti,pia nimekiri kua kuna watu wanajua kuchambua mambo kwa kina sana,pia kuburudika, nnashukuru snaa mexince mello na wenzie ,hakika jamii forum ni kisima cha maarifa.
 
Kumbe ni heri kukumbukwa hatakama kwa mabaya ila sio kupass like a shadow πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu uchawi ni hilo jina unalotumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…