Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Huku ili ukumbukwe kumbukwe lazima uwe maarufu kwa jambo lolote.
Ila kumbuka umaarufu wa jf una gharama zake na gharama zake ni kubwa sana.

Members wanakupa umaarufu, wanakutag tag, shobo kama zote mpaka unajiona wewe ni muhimu sana ila siku wanaamua kukuzima ziiiiiii lazima ubadili ID au ukimbie jf.
 
Muulize Mtu anaitwa Gentamycin ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ