Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Ndio unapoteza bwana kwa uzembe utajutiaπŸ˜€ wakina Johnnie Walker wako mawindoni mda wote wanataka kuharib watoto wazuriπŸ˜€
angalia jinsi vitoto vyetu vilivyo maji ya kunde hadi raha. Utasababisha John aharibu mbegu maana ni mweusi tiii
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndio unapoteza bwana kwa uzembe utajutiaπŸ˜€ wakina Johnnie Walker wako mawindoni mda wote wanataka kuharib watoto wazuriπŸ˜€
angalia jinsi vitoto vyetu vilivyo maji ya kunde hadi raha. Utasababisha John aharibu mbegu maana ni mweusi tiii
Kwani sisi weusi tunashida gani?
 
Kumbe kuna watu mnataka umaarufu wa JF kwa fake ID's!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Don’t expect anything from anyone utaishi maisha ya amani kabisa
 
Huwa sibet kabisa nilishapoteza hela kitambo sijasahau
Ila Johnnie Walker anabet mpaka muhund anamuonea huruma
Hapa kwakweli umenikosea sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi sibet niambie out hapo sawa yaani ata ukiniamsha usingizini ukisema twende kariakoo atakama nimetoka uko tutaenda mzeee
 
Utajulikana kupitia content zako unazo deliver hapa mkuu endapo tu kama zina manufaa,siyo vinginevyo.
 
Hapa kwakweli umenikosea sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi sibet niambie out hapo sawa yaani ata ukiniamsha usingizini ukisema twende kariakoo atakama nimetoka uko tutaenda mzeee
Unazurura sana.🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€utakufa vibaya
Hapana kabisaa kufa vibaya sio kwel na kama kufa kwasababu yako hilo ondoa was ninaridhia kabisaaaaa yan..Nipe nafasi ndio kitu nahitajiπŸ˜‰
 
Naona sasa namba zimeongezeka muweke na Darlin hapo,
Muweke kwenye maombi tafadhali, kama ni yeye utaonywesha logo ya JF..!![emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]no Madam and Senkyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…