Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
2,919
Reaction score
5,558
Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino).

Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Aidha wataalam, serikali na viongozi wa dini wanatoa elimu namna ya kuchukua tahadhari

Leo kwa Dar es Salaam tumepata mvua pengine ndio dalili yenyewe hizo.

Uzi huu tuwe tunapeana updates ili kuufahamisha umma kwa kuanzia leo.

Ndugu zetu wa Msimbazi, Magomeni, Boko Basihaya, Tungi Kigamboni, Mbagala na viunga vingine vya jiji hali ikoje huko. Pia mikoani msibaki nyuma.
 
Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino).

Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Audha wataalam, serikali na viongozi wa dini wanatoa elimu namna ya kuchukua tahadhari

Leo kwa Dar es Salaam tumepata mvua pengine ndio dalili yenyewe hizo.

Uzi huu tuwe tunapeana updates ili kuufahamisha umma kwa kuanzia leo.

Ndugu zetu wa Msimbazi, Magomeni, Boko Basihaya, Tungi Kigamboni, Mbagala na viunga vingine vya jiji hali ikoje huko. Pia mikoani msibaki nyuma.
ok. :1Head:
 
Back
Top Bottom