Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
- #61
Hapo stress hana kabisa.
Wapi hapo, manga, tengwe, mkata, mazingara, amani, sua, kwachaga, magamba, msasa au vibaoni?Huku Tanga handeni jua kali kinoma viwingu ni vya kuhesabu
Hivi kwa hizi mvua uwanja wa Yanga utajengwa kweli!?Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino).
Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Aidha wataalam, serikali na viongozi wa dini wanatoa elimu namna ya kuchukua tahadhari
Leo kwa Dar es Salaam tumepata mvua pengine ndio dalili yenyewe hizo.
Uzi huu tuwe tunapeana updates ili kuufahamisha umma kwa kuanzia leo.
Ndugu zetu wa Msimbazi, Magomeni, Boko Basihaya, Tungi Kigamboni, Mbagala na viunga vingine vya jiji hali ikoje huko. Pia mikoani msibaki nyuma.
Msomela hukuWapi hapo, manga, tengwe, mkata, mazingara, amani, sua, kwachaga, magamba, msasa au vibaoni?
Huko siku hz kuna maasai, ww ni miongon mwaoMsomela huku
Wapi hapo, manga, tengwe, mkata, mazingara, amani, sua, kwachaga, magamba, msasa au vibaoni?
Anataka kushusha kontena au?Agizo
Anataka kushusha kontena au?
Kwa El nino inayokuja,laani Mjane aliyowafanyia Watanganyika ,October 29, Zenj inaenda kuwa mji wa Sodoma na Gomora
Kama la pin na rubber bandItakuwa soko linatafutwa
El mino imeahilisha ko tuwe na amani
Miaka 60 hatujawahi kuwa na namba 1,MjaneWamesema hii haijawahi kutokea 500 iliyopita
Miaka 60 hatujawahi kuwa na namba 1,Mjane
😄😄😄 na pangani, segera, michungwaniHujataja Kwa Msisi na Kabuku mkuu 🤣