Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Wewe ni mpumbavu sana ๐๐๐๐๐๐ yani huwa nawaza ukoje..nahisi ni kijana fulani hivi mwembamba mwenye fujo...Tuchukue tahadhari
View attachment 3672335
Wewe ni mpumbavu sana ๐๐๐๐๐๐ yani huwa nawaza ukoje..nahisi ni kijana fulani hivi mwembamba mwenye fujo...Tuchukue tahadhari
View attachment 3672335
una kila dalili za kusombwa na elino gentleman, be carefulSio ok waambie zile billion zifanye kazi na uchawa uache.

Mi naanzaga kabisa.
1. Jangwani hapapitiki
walikua wanawaza upigaji tuuDah Hatari na ni mvua kidogo tuu sijui itakuaje zikiongezeka. Jiulize waliojenga kituo cha Mwendokasi/ karakana pale walikuwa wanawaza nini...?
Dah watakaopanda minazi watapanda kila mtu atafikiwa kivyake,
Wewe ni mpumbavu sana ๐๐๐๐๐๐ yani huwa nawaza ukoje..nahisi ni kijana fulani hivi mwembamba mwenye fujo...
una kila dalili za kusombwa na elino gentleman, be careful![]()
walikua wanawaza upigaji tuu
ok.Gentleman mimi sikai mabondeni. Ndugu zako kule Hanang wapo hatarini ule mlima wote utaporomoka tena endelea kuwa chawa.

Jamaa kashajipigia anatubu ili arudie cha mwisho ๐
sjamaanisha mosh anway jua kali hapa kino tunapiga kaz hakuna hata wingu
Pitia hapa, taarifa rasmi kutoka TMA๐๐พNdo mseme izo mvua zinaanza lini maana kila mtu anatoa taarifa zake
Hivi huwa mnasoma na kuelewa msg? Namjua wapi sasa..nimesema nawaza atakuwajeUnamjua ? . Kampe kampani basi aache hizo tools ๐คฃ
700 billions prepared for El nino disastersKuna upigaji wa fedha za Umma,unaandaliwa na El nino haitaonekana na tutaambiwa zilitumika 3 billions kununua vifaa
Kuna upigaji wa fedha za Umma,unaandaliwa na El nino haitaonekana na tutaambiwa zilitumika 3 billions kununua vifaa
Huku Tanga handeni jua kali kinoma viwingu ni vya kuhesabuOoh sisi huku Goba mvua toka saa 12 asubuhi mpaka saa 3 ndio imetulia na wingu bado lipo.
Jamaa hataki stress kabisaTuchukue tahadhari
View attachment 3672335
Ngoja nitafute malkia wakupiga naye stori wakati wa hizo mvua zikiwa zinanyesha huko nje.
Hivi huwa mnasoma na kuelewa msg? Namjua wapi sasa..nimesema nawaza atakuwaje