Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Tuchukue tahadhari
View attachment 3672335
Eh mbona kamaTuchukue tahadhari
View attachment 3672335
Tumekuelewa mosie jua kali huku el nino itakua lini?
Hii picha nime izoom ndo nikaelewa mavituz ya wazunguzTuchukue tahadhari
View attachment 3672335
Ndo mseme izo mvua zinaanza lini maana kila mtu anatoa taarifa zake
Jamaa kashajipigia anatubu ili arudie cha mwisho 😂Tuchukue tahadhari
View attachment 3672335
ok.Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino).
Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Audha wataalam, serikali na viongozi wa dini wanatoa elimu namna ya kuchukua tahadhari
Leo kwa Dar es Salaam tumepata mvua pengine ndio dalili yenyewe hizo.
Uzi huu tuwe tunapeana updates ili kuufahamisha umma kwa kuanzia leo.
Ndugu zetu wa Msimbazi, Magomeni, Boko Basihaya, Tungi Kigamboni, Mbagala na viunga vingine vya jiji hali ikoje huko. Pia mikoani msibaki nyuma.
Hii picha nime izoom ndo nikaelewa mavituz ya wazunguz
sjamaanisha mosh anway jua kali hapa kino tunapiga kaz hakuna hata winguMoshi au wapi..?
cha muhimu ni kuwa na msosi tu ndani wanakokaa mabondeni wakuwasaidia ni Mungu tu maana kwa akili zetu za kibinadamu atuwezi
Kuna upigaji wa fedha za Umma,unaandaliwa na El nino hautaonekana
Dah watakaopanda minazi watapanda kila mtu atafikiwa kivyake,Hatari sana ila mtumiaji kwa kwa kitanda sio mzungu