TURTEKING
Senior Member
- Nov 4, 2020
- 120
- 201
Vigezo sina vya huko mkuuKuna kazi zimetangazwa ajira portal km unavyo vigezo nenda kaapply
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo sina vya huko mkuuKuna kazi zimetangazwa ajira portal km unavyo vigezo nenda kaapply
Shukran sanaTuko tayari mnaomba mawasiliano yako
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.Naitaji kijana mwenye ujuzi wa kuandaa michoro ya 3D asiwe mwajiriwa sehemu yeyote na awe teyari kufanya kazi ktk ofisi yetu.
Ni dereva anahitaji mchongo ili ajikwamua na sonona ya kuwa na maisha magumu....Tupeane mchongo
Tupeane mchongo
Naitwa rajabu napatikana tegeta kwa ndevu
Mm ni dereva natafuta kazi
Pia nina akaunti uber na bolt kama naweza pata gari ya mkataba au hesabu ntashukuru
Mawasiliano 0656539177
Asanteni
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo
Shukran sana Ubarikiwe..[emoji120]Kuna kazi zimetangazwa ajira portal km unavyo vigezo nenda kaapply
Shukran sana kwa mchongo.Nahitaji connection ya mafundi wanaoweza kupaua na nyasi kama inavyoonekana kwenye picha View attachment 1932722View attachment 1932723View attachment 1932721
Naam.Nurse Diploma level
Kwa anaenihitaji kwa huduma za afya, ushauri na elimu ya afya akili pia, uzazi,malezi na huduma kuuguza wagonjwa wenye magonjwa sugu waliokata tamaa au wenye kuhitaji kufanyiwa huduma zoote kitandan ( terminal ill patients care) nk niite tusaidiane
Karibu sana.ntarudi
Shukran sana..Kama kuna mtu amesomea upishi au anauzoefu na upishi,kuna kazi ya upishi kwenye hotel awe dar..anicheki pm
Shukrani sana na karibu tupeane michongo.Kila la kheri...
Kwa msaada wa haraka ungeeleza unatatizwa na kipi ili upate ufafanuzi kwa haraka maana sikuzote mwenye shida ndio anamfata anaemsaidia na sio yeye kufwata. Unaweza ukachelewa kupata msaada kwa harakaJaman samahan nna shida kwa mjuzi na mzoefu wa ajira portal naomba ancheki anisaidie kitu