Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Nahitaji connection ya mafundi wanaoweza kupaua na nyasi kama inavyoonekana kwenye picha View attachment 1932722
FB_IMG_1631313844841.jpg
View attachment 1932721
 
Naitaji kijana mwenye ujuzi wa kuandaa michoro ya 3D asiwe mwajiriwa sehemu yeyote na awe teyari kufanya kazi ktk ofisi yetu.
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.

Hakika utaokoa maisha ya moja ya watu walio katika uzi huu.

##
Tuchangamkie Fursa.
 
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo

Naitwa rajabu napatikana tegeta kwa ndevu
Mm ni dereva natafuta kazi
Pia nina akaunti uber na bolt kama naweza pata gari ya mkataba au hesabu ntashukuru
Mawasiliano 0656539177
Asanteni
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo
Ni dereva anahitaji mchongo ili ajikwamua na sonona ya kuwa na maisha magumu....



Tupeane michongo.
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Ndugu zangu uzi huu ni maalumu kwa lengo la kupeane michongo ndilo lengo kuu la uzi..

Ni kusaidia vijana wenzetu kupata ajira mbalimbali kutokana na vigezo vinavyohitajika...


IKIWA UNAMCHONGO WOWOTE BHASI USISITE KUSHARE HUMU ILI VIJANA WENZETU, NDUGU ZETU WAPATE KUFAIDIKA NA MICHONGO...

#ANGALIZO: MICHONGO IWE YA HALALI NA ISIYO NA CHEMBE YA UONGO AU UTAPELI[emoji120].

Msaidie ndugu, rafiki, kijana mwenzako kwa sababu huwezi jua kesho utakuwa katika hali gani na ni yupi atakuwa msaada kwako. WEKA AKIBA..


HALIKADHALI IKIWA UNATAFUTA MCHONGO PIA USIWEKE SHIDA YAKO MOYONI, SHARE, WEKA VIGEZO, ILI UPATE MICHONGO.

Niendelee kuwashukuru nyote mlioendelea kushare michongo na kutokuwa na moyo wa choyo katika kusaidia vijana wenzetu.[emoji120] Tuendee kutoa michongo..


Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Nurse Diploma level
Kwa anaenihitaji kwa huduma za afya, ushauri na elimu ya afya akili pia, uzazi,malezi na huduma kuuguza wagonjwa wenye magonjwa sugu waliokata tamaa au wenye kuhitaji kufanyiwa huduma zoote kitandan ( terminal ill patients care) nk niite tusaidiane
 
Nurse Diploma level
Kwa anaenihitaji kwa huduma za afya, ushauri na elimu ya afya akili pia, uzazi,malezi na huduma kuuguza wagonjwa wenye magonjwa sugu waliokata tamaa au wenye kuhitaji kufanyiwa huduma zoote kitandan ( terminal ill patients care) nk niite tusaidiane
Naam.



Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo.
 
Kama kuna mtu amesomea upishi au anauzoefu na upishi,kuna kazi ya upishi kwenye hotel awe dar..anicheki pm
Shukran sana..

Kwa kutokuwa mchoyo wa michongo hakika Mungu atakulipa kwa jema hili..


Ndugu zangu kwa wenye vigezo tajwa yani uliyesomea mapishi na uliye na uzoefu mchongo ndio huu hapo.

Tuchangamkie fursa.
Tuchangamkie fursa


Tuchangamkie mchongo..
 
Jaman samahan nna shida kwa mjuzi na mzoefu wa ajira portal naomba ancheki anisaidie kitu
Kwa msaada wa haraka ungeeleza unatatizwa na kipi ili upate ufafanuzi kwa haraka maana sikuzote mwenye shida ndio anamfata anaemsaidia na sio yeye kufwata. Unaweza ukachelewa kupata msaada kwa haraka

Hivyo kama hutojal share tu ruhsa.
 
Sioni sehem ya kufuta vyeti naona edit tu kila nikijaribu inazngua cjajua nakosea au
 
Back
Top Bottom