GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Mi ni kijana mwenye umri wa 25 niliesoma masomo ya afya ngazi ya diploma yaaani clinical officer nimesoma chuo cha serikali,naombeni connection ya hospital yeyote au taasisi yeyote ya afya kwa kujitolea,mkiridhika na uwezo wangu mtaniajiri Napatikana Dar es saalam,
Pia mi ni mchakalikaji nafanya kazi yeyote hata ambayo iko nje ya proffesional yangu hata iwe ya nguvu kama ipo pia mnaweza nipatia wakuu sharti iwe halali.Ahsante
Naomba kuwasilisha,niwatakie heri ya mwaka Mpya.