Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Mi ni kijana mwenye umri wa 25 niliesoma masomo ya afya ngazi ya diploma yaaani clinical officer nimesoma chuo cha serikali,naombeni connection ya hospital yeyote au taasisi yeyote ya afya kwa kujitolea,mkiridhika na uwezo wangu mtaniajiri Napatikana Dar es saalam,

Pia mi ni mchakalikaji nafanya kazi yeyote hata ambayo iko nje ya proffesional yangu hata iwe ya nguvu kama ipo pia mnaweza nipatia wakuu sharti iwe halali.Ahsante

Naomba kuwasilisha,niwatakie heri ya mwaka Mpya.
 
kwa wanaotafuta michongo naomba niwape na huu,wakati huu unalo bundle la kuingia hapa JF pia unaweza endelea kupost kwenye status zako za whattsapp bidhaa ninazouza na tunazoziuza kwa kutumia network,badala ya kupost picha zako umevaa joho la mahafali au ukichoma nyama mwisho wa mwaka.

pitia huu uzi chukua bidhaa unayotaka post popote baada ya kuona bei nitakayoweka,ongeza unavyotala wewe kulingana na mazingira yako kisha tuwasiliane inafikaje kwa mteja

pia 0765981354 napatikana whattsapp napost bidhaa zingine kwenye status zangu kwahiyo kama unataka mchongo basi karibu tufanye kazi wakati unaendelea kutafuta huo mchongo unaoutaka,pengine hata huu ndio mchongo wenyewe.

Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month Pre-paid

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Niunge mkuu ..fanya kweli Nina kaki apa..
 
Fanya mpango uongeze madaraja
Aisee wakuu kitaa ni kigumu sana. Nina leseni daraja D kama kuna boss anahitaji kuendeshwa dereva nipo. Naendesha gari vizuri tu na nina uzoefu wa kutosha kuendesha manual na Automatic.

Asanten sana wakuu.
 
Habari ndugu zangu mwenye connection za sheli anisaidie au supermarket hali ngumu mtaani unaeza jikuta unafanya vitu vya ajabu hasa sisi mabinti [emoji22]
elimu yangu kidato cha nne
Njoo nikuweke ndani binti usipate tabu na maisha.
 
Habarini..
Mwenye connection ya kazi ya ukemia(uchenjuaji/mineral processing) kwa geita nipo hapa dada yenu nina uzoefu na uaminifu pia katika kazi,mwenye plant ama connection naomba anisaidie hata kazi nyingine pia naweza kufanya kama kusimamia mradi,shell,storekeeper n.k...Maisha ni magumu bila ajira ndugu zangu naomba tusaidiane..

Asanteni..
Unaweza kuzama shimoni kupiga sururu?
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month Pre-paid

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ambae yupo kwenye Taasisi ya Serikali na wana uhitaji wa Mtu wa TEHAMA wa kuhamia! Connections pse
 
Back
Top Bottom