Nilimpenda Mary Cheusi wangu halafu akaja kunifumania na mdogo wake tunazagamuana. Mpaka leo nampenda, lakini hataki kunisamehe miaka 25 mbele.Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda?
Karibuni kwenye uzi kwa visa vyenu murua.
Wewe huna unaempendaga bado?Ngoja waje....
Moyo wangu haujabakiza nafasi hiyo mkuuWewe huna unaempendaga bado?
Utafika mbali ukiwa na moyo huo.Moyo wangu haujabakiza nafasi hiyo mkuu
Move on bro, hayo mawazao yatakufanye uishi kwenye pas si future tenaHabari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda?
Karibuni kwenye uzi kwa visa vyenu murua.
Hakika nami dalili nazionaUtafika mbali ukiwa na moyo huo.
Ila we ni fala sana😅😅😅Kwa sisi wa kununua mapenzi pale tunapohitaji tu huu uzi hautuhusu.
Demu wangu Mwajuma kishuzi kwenye tangazo lake la Telegram kaweka kabisa kwa elfu 20 mnatiana kama upo na mpenzi wako. Ukikojoa tu na upenzi unaishia hapo hapo.
Kiumbe pekee unachopaswa kukipenda bila ya masharti na ukomo ni wewe mwenyewe. Wengine/vingine vyote lazima uweke mipaka ya kupenda. Katika kila upendo wa dhati weka nafasi ndogo ya chuki, itakusaidia mambo yakienda mrama.Hakika nami dalili naziona
dah, wewe kweli uliumizwa. Maana kipimo cha maumivu ya kibongo ni kutumia kiingereza.The one who I love and trust hurted me like never my enemy did
Mama na wanangu itakuwaje?Kiumbe pekee unachopaswa kukipenda bila ya masharti na ukomo ni wewe mwenyewe. Wengine/vingine vyote lazima uweke mipaka ya kupenda. Katika kila upendo wa dhati weka nafasi ndogo ya chuki, itakusaidia mambo yakienda mrama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah, wewe kweli uliumizwa. Maana kipimo cha maumivu ya kibongo ni kutumia kiingereza.
Ukisikia demu anakwambia ai heti u hata kama hajui kizungu basi juwa umemuumiza hasa.
Hakuna KIUMBE CHOCHOTE kinachopaswa kuvuka kiasi cha upendo ulionao juu yako wewe mwenyewe.Mama na wanangu itakuwaje?
itakuwa umepigwa tukio na familia yako wewe, sio bure😀😀😀😀😀😀Hakuna KIUMBE CHOCHOTE kinachopaswa kuvuka kiasi cha upendo ulionao juu yako wewe mwenyewe.
Dunia ya leo usistaajabu mama yako akawa ndio mtengeneza sumu itakayokuua na watoto wako wakakutelekeza pale wanapomaliza haja na wewe.
Sisemi kuwa uwachukie, lakini usipende kupitiliza kiasi kwamba wakikuumiza ujikute unaumia kwa kupitiliza. Katika kila upendo weka akiba ya chuki. Inawezekana usielewe mpaka yakukute na nakuombea Mungu yasikukute.