Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda?
Karibuni kwenye uzi kwa visa vyenu murua.
Akiondoka kaondoka.

Kulazimisha mapenzi ni tabia mbaya.
 
Kupenda sio udhaifu ila kuzidi kumpenda mutu asiekuhitaji n udhaifu mukubwa sana mama yeyoo
Hakika, akiondoka nawe ondoka tu....yaan jitahidi kuondoka.... hakuna kiumbe kibaya na chenye roho mbaya kama mwanadamu hasa akijua kwake umetua mabegi.
 
Back
Top Bottom