Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Kwa sisi wa kununua mapenzi pale tunapohitaji tu huu uzi hautuhusu.

Demu wangu Mwajuma kishuzi kwenye tangazo lake la Telegram kaweka kabisa kwa elfu 20 mnatiana kama upo na mpenzi wako. Ukikojoa tu na upenzi unaishia hapo hapo.
🥲😄😄😄
 
Sina cha kuongea
1727883778033.png
 
Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda?
Karibuni kwenye uzi kwa visa vyenu murua.
Alipata kadume kwenye mpunga zaidi na anakatawala,hakapumui!
 
Dada Prishaz alimtorosha mchuchu wangu nayempenda miaka buku... eti kisa sina ng'ombe wa kuhonga.

Prishaz sitokusamehe kwa hili. Bado namzimia sana huyo manzi.

Mie komandoo wa mapenzi, ila kwa ile asali walahi niko mateka! 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom