Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Akiondoka kaondoka.

Kulazimisha mapenzi ni tabia mbaya.
 
Yani wewe haumo??๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š
Kwan kasema tutaje wapenzi tulionao? Amesema ex afu bado unampenda.Yaan mtu mmeachana afu bado unampenda....sijui walimwengu wengine wanakuwa wamekufaa๐Ÿค”โ˜น๏ธ akipita amepita
 
Kupenda sio udhaifu ila kuzidi kumpenda mutu asiekuhitaji n udhaifu mukubwa sana mama yeyoo
Hakika, akiondoka nawe ondoka tu....yaan jitahidi kuondoka.... hakuna kiumbe kibaya na chenye roho mbaya kama mwanadamu hasa akijua kwake umetua mabegi.
 
Hakika, akiondoka nawe ondoka tu....yaan jitahidi kuondoka.... hakuna kiumbe kibaya na chenye roho mbaya kama mwanadamu hasa akijua kwake umetua mabegi.
Hakika ni kweli kabisa akuna kuweka kambi kwa mtu asiekuhitaji, nilishamwambia hadi yule msabato Ms R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ