Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Anhaaa mitihani ya miaka ile ilikua konki sana, vijana wa sasa wanapitia kamseleleko tu.Duuh kweli basi umeniacha miaka 2 mana mi kipindi hiko nilikua nipo form 2...
Anhaaa mitihani ya miaka ile ilikua konki sana, vijana wa sasa wanapitia kamseleleko tu.Duuh kweli basi umeniacha miaka 2 mana mi kipindi hiko nilikua nipo form 2...
Kawasema wapendwa wako mkuu😄Kwani uwezi ongea jambo bila kuwasema mashangazi...😬😬😬😬
Tutapigana humu 🤣🤣🤣
Uzi tayyaariKaribuni wadau wote mliozaliwa miaka ya 2000's wadada na vijana wa kiume tuje tupeane michongo mbalimbali ya maisha
Shangazi zetu na wajomba muwepo kutupa ushauri tu na si vinginevyo
Paper unakuta kina vipimo kwa kilometers na hoursAnhaaa mitihani ya miaka ile ilikua konki sana, vijana wa sasa wanapitia kamseleleko tu.
Yaaan nachukia sana aiseee an unacompare vipi mashangaz na hawa madogoKawasema wapendwa wako mkuu😄
Noma sana mzeePaper unakuta kina vipimo kwa kilometers na hours
Wapi hyo mkuu..Noma sana mzee
Tag location chapWapi hyo mkuu..
Tuna msiba hapa mtaani vipi utatokea
Kaka nilikua huko ndo mana nikawa kimya ila bia zilikuwepo plas SKTag location chap