Uzi maalum kwa 'vitu used'

Jamani mbona bei zenu ni tofauti kwa iyo bei ya Used,Ni heri mtu aende akanunue kitu kipya tu,Kama mie kuna kitanda na godoro lake 5 kwa 6 nilinunua laki mbili tena godoro lake likiwa bado jipya,sasa vitu vilivyowekwa hamu ndani bei zake ni kubwa sana yaani,
 
Pole Sana mkuu ...
Bei Ni kutokana na thamani ya kitu
Kitu gani umeona bei kubwa
 
Natafuta radio ya mtumba ndogo tu yeynye kuchomekwa flash ofa 30,000 hadi 50
 
Kitanda chenye sofa pembeni kina bei sana hadi laki 6 bosi
Asante mkuu kuna watu wengi hawajui bei za vitu lakini wanawahi kulalamika vitu vina bei kuliko vipya ..

Godoro la inch 8 linaenda 270 hadi 300
Bado watu wanaona bei Ni kubwa kuliko dukani

Rai yangu.. kama hujui bei ya kitu kipya uliza kwanza kuliko kucomment Kama Una uhakika.. Kufanya hivyo Ni kupoteza sifa ya muuzaji
 
Godoro la QFL 5*6 inch 8 ni 200k dukani, mkoa gani mnauziwa 270k?

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…