Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Asante mkuu kuna watu wengi hawajui bei za vitu lakini wanawahi kulalamika vitu vina bei kuliko vipya ..

Godoro la inch 8 linaenda 270 hadi 300
Bado watu wanaona bei Ni kubwa kuliko dukani

Rai yangu.. kama hujui bei ya kitu kipya uliza kwanza kuliko kucomment Kama Una uhakika.. Kufanya hivyo Ni kupoteza sifa ya muuzaji
Nchi gani hiyo hizo bei??
 
Back
Top Bottom