Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mungu hayupo. Nani huyo anaehofia kitu ambacho hakipo?kuna watu wanataka wajifurahishe jf kwa kumpinga Mungu ila weng wao wanafanya hvyo kwa hofu kubwa, bahat mbaya unawafurahsha ambao hawana msaada kwako.
Eimeen,.Tangu sasa na hata milele Aaamen
Umeokoka wewe ???Eimeen,.
Ndiyo,.Umeokoka wewe ???
Hongera ndugu umechagua fungu jema naomba Mungu akutie nguvu ukaze mwendo ukaurithi ufalme wake.Barikiwa sana na Yesu.Ninaamini katika Mungu. Ninaamini katika Yesu Kristo mwana wa pekee wa baba, Heri wote wenye mioyo safi maana watamuona Mungu.
Bujibuji hata kwenye ndoto ulinikimbia ulivyoona indian shape flat screen yanguSky Eclat Na Miss Natafuta nimewatuma sana hadi kwenye ndoto, usifanye mchezo Na harakati za Bujibuji a.k.a Dr Love
Mi mwenzako naogopa TV za chogo, mambo yangu mi flat screen. Ila kibabu cha Tegeta Masaiti kilinizidi spidi, halafu siku hizi JOHN WALKER zake kinanywea kwenye uvungu wa Kabati la chumbani kwenu. Asprin nakuangalia kwa jicho kali, weee poa tuBujibuji hata kwenye ndoto ulinikimbia ulivyoona indian shape flat screen yangu
We dawa yako ni kukuchukulia mchepuko wako tu...Mi mwenzako naogopa TV za chogo, mambo yangu mi flat screen. Ila kibabu cha Tegeta Masaiti kilinizidi spidi, halafu siku hizi JOHN WALKER zake kinanywea kwenye uvungu wa Kabati la chumbani kwenu. Asprin nakuangalia kwa jicho kali, weee poa tu
Usikonde Sky Eclat umebatizwa naeHuu wivu sijui niufanyeje...
Na ni mlaji mzuri sana wa KitimotoWe dawa yako ni kukuchukulia mchepuko wako tu...
Ntaanza na Halima wa Family Bar... jana niligundua hajafunga ramadhani
Kama huamini uwepo WAKE si mahali pako hapa.Mungu muweza wa yote, mwenye mapenzi kemkem, aliyepo mahali kote kwa wakati wote, na tararira zingine kama hizo, mpaka hivi sasa mungu huyo hakuna ushahidi wa uwepo wake.
Hilo mkubali mkatae, ndo ukweli wenyewe huo.
Huyo mungu mnayedai yupo anafeli mitihani midogo na myepesi sana ya maswali ya kawaida kabisa.
Jana/ leo imeletwa habari humu kuwa kuna mchungaji huko Ethiopia kauliwa na mamba ziwani alikokuwa anawabatiza sijui waumini wake wale.
Huyo mchungaji alikuwepo hapo ziwani akifanya kazi ya ki-mungu. Na nadhani ni haki nikimuita huyo mchungaji kuwa ni 'wakala' wa mungu.
Sasa huyo mungu alikuwa wapi kumnusuru kifo huyo 'wakala' wake? Iweje huyo mungu akampa akili na uwezo huyo mamba wa kumshambulia huyo 'wakala' wake huko ziwani hadi kumuua?
Sijawahi hata kuparuriwa na paka lakini nadhani kung'atwa na mamba hadi ufe kunauma kweli kweli.
Huyo mungu alishindwa nini kumnusuru huyo 'wakala' wake kuepuka hayo maumivu?
Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa hakuna ushahidi wa huyo mungu. Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu, au waweza kuyaita 'imani'.
Kwa hiyo, kwangu mimi, mpaka hivi sasa huyo mungu ni kiumbe msasili [mythical figure].
Hakuna ushahidi unaothibitisha, unaotosha, na unaohitimisha kuhusu uwepo wake.
Naanza kuona kama pepo limeanza kukushambulia...Usikonde Sky Eclat umebatizwa nae